Mpasuko CHADEMA, Nini kifanyike?

Mpasuko CHADEMA, Nini kifanyike?

WanaJF,
Hivi mtu unapoandika jambo usilojua ukaliandika tu kwa ushabiki huoni kuwa linakushushia hadhi? Kama kweli una nia ya kujua kwanini usiulize kilichojiri?
Nasikitishwa na hali hii ya kufanya mambo kwa ushabiki. Kikao kinachohusika ni kikao cha Kamati Tendaji mbili za wilaya ya Nyamagana na Ilemela. Mimi ndiye niliyeitisha kikao hicho. . Nimeshuhudia yaliyojiri, hakuna swala la makambi ya Mbowe na Slaa. Wala hakuna swala la wenje kutishia mtu ni taarifa iliyopikwa. Mimi nilimtoa kwenye kikao kijanaaliyesimamishwa baada ya mchakato hadi kufikia CC. Akagoma kutoka. Wala hakutishwa alitolewa na vijana.

Dr. Slaa uwe mkweli kwa tukio la Mwanza kwani hata mie nilikuwepo silaha ilitolewa kutokana na purukushani za mjumbe mmoja kung'anga'ania kuingia kwenye kikao kisicho muhusu.
 
Ah, nikawaida kwenye vyama lakini isiwe kawaida kwa cdm. Mimi sioni tatizo kubwa, maana hii humanisha chama kinazidi kuwa kikubwa na complex. 'let we b careful'
 
chadema hakunaga kambi kaka! Kambi ziko ccm tu! Vikao ndo vitakavyoamua nani mgombea, sio haya majungu yako. Au unataka kutupotezea timing ya Arumeru?????
 
Sijajua mtoa .mada alikuwa kalenga nini.

Tujikumbushe matukio yanayoendelea hapa jamvini wakati wa kinyang'anyiro cha ubunge kikishika kasi.

Wafuatao walichafuliwa kwa tuhuma mbalimbali.
1.Dr Slaa
2.Mbowe
3.Mnyika
Wakamalizia na Zitto.

Leo mambo ya Kitila na kambi za uraisi,bado twatazama!
Ila mwisho wenu utafika aprili.
 
Nasubiri maelezo toka kwa Dr. Kitila mwenyewe najua yupo
 
Kitila Mkumbo hawezi kwenda Low kiasi hiki kueleza mambo ambayo hayapo, labda yule wa Hybrid ya Ilonga!
Jaribu kumfuatilia hapa JF ndio utafahamu upeo wake! unaweza hata ukaquestion udr wake!
 
Jaribu kumfuatilia hapa JF ndio utafahamu upeo wake! unaweza hata ukaquestion udr wake!
Wewe ni
Mmoja kati ya watu wenye uwezo wa chini wa kuchambua mambo jf,na mwenye upofu wa kutambua UKWELI.Hua hauthamiki hata kidogo humu,sema ndo umeshazoea kuingia jf na kupost undezi,basi umezoeleka pamoja na ujinga wako!
 
si Mbowe wala Slaa anayefaa kuwa Rais wa Nchi hii labda kwa upinzani mngemsimamisha Lipumba huyu ana sifa za kuwa Rais.

Mbona wewe unataka kutuchekesha? Uko dunia ya wapi wewe usiyejua lipumba hayuko tena upinzani? na magamba watahakikisha ile ndoa haivunjiki.
 
''democracy'' ukielewa neno hili hutasema cdm kuna mpasuko that z hau democracy vibrate...any cdm member has the right to contest bt majority vote will rule
 
Vikao halali vya chama vitamleta mgombea makini ninauamini utaratibu wa chama.
 
Hakuna ubishi kwamba chadema ndio chama kikuu cha upinzani angalau kwa sasa nafasi ambayo awali ilikuwa ikishikiliwa na cuf ambao nao waliirithi kutoka kwa NCCR-MAGEUZI ile ya Mrema na Marando ambae kwa sasa yuko chadema huku Mrema yeye akiwa na chama "chake" siku hizi.

Lakini katika hali ya kusikitisha taarifa kutoka chanzo cha kuaminika(mshauri mkuu wa chadema)zinaeleza kwamba ndani ya chedema kuna mpasuka mkubwa kuhusu nani anapswa kuandaliwa kugombea urai kati ya mwenyekiti mbowe na katibu dr slaa.Ama hakika hii si habari njema sana kwa wapenda demokrasia na mabadiliko kiujumla.

Ushauri wangu ili kunusuru hali hii ya mpasuko isizidi kusambaa,Mbowe na slaa wake pembeni,hii itawavunja nguvu wapambe wao,watakuwa hawana tena kinachowatofautisha na pia itwapa muda mzuri mwenyekiti na katibu wake kushiriki mchakato huru wa kuitafutia chadema mgombea akaekidhi matarajio ya chama hicho ambayo siamini kama ni just kuwwa chama kikuu cha upinzani tu.

Mi naanza kuonyesha njia,majina haya sita kati yao anaweza kuipeperusha vyema bendera ya chadema kwenye urais.

1:Kitila Mkumbo(dr)
2:Zitto Kabwe
3:Halima Mdee
4:Abdallah Safari(prof)
5:Godbless Lema
6:Tundu Lisu

Nawasilisha.
 
huwa nasoma thread zako bila kuchangia ila leo naomba kuchangia kwa kusema hivi..''ACHA KUCHONGANISHA''....Mungu hapendi..
 
huwa nasoma thread zako bila kuchangia ila leo naomba kuchangia kwa kusema hivi..''ACHA KUCHONGANISHA''....Mungu hapendi..

Hapana hii ni ya uhakika kabisa kutoka kwa mshuri wa chadema bwana kitila mkumbo ndio alievunja ukimya huu,si habari ya kufikirika kama zile za kina membe,lowassa na sitta kwamba wanautaka urais.
 
Hakuna ubishi kwamba chadema ndio chama kikuu cha upinzani angalau kwa sasa nafasi ambayo awali ilikuwa ikishikiliwa na cuf ambao nao waliirithi kutoka kwa NCCR-MAGEUZI ile ya Mrema na Marando ambae kwa sasa yuko chadema huku Mrema yeye akiwa na chama "chake" siku hizi.

Lakini katika hali ya kusikitisha taarifa kutoka chanzo cha kuaminika(mshauri mkuu wa chadema)zinaeleza kwamba ndani ya chedema kuna mpasuka mkubwa kuhusu nani anapswa kuandaliwa kugombea urai kati ya mwenyekiti mbowe na katibu dr slaa.Ama hakika hii si habari njema sana kwa wapenda demokrasia na mabadiliko kiujumla.

Ushauri wangu ili kunusuru hali hii ya mpasuko isizidi kusambaa,Mbowe na slaa wake pembeni,hii itawavunja nguvu wapambe wao,watakuwa hawana tena kinachowatofautisha na pia itwapa muda mzuri mwenyekiti na katibu wake kushiriki mchakato huru wa kuitafutia chadema mgombea akaekidhi matarajio ya chama hicho ambayo siamini kama ni just kuwwa chama kikuu cha upinzani tu.

Mi naanza kuonyesha njia,majina haya sita kati yao anaweza kuipeperusha vyema bendera ya chadema kwenye urais.

1:Kitila Mkumbo(dr)
2:Zitto Kabwe
3:Halima Mdee
4:Abdallah Safari(prof)
5:Godbless Lema
6:Tundu Lisu

Nawasilisha.

Mkuu una mambo wewe! Nani akae pembeni? Wacha waingie kwenye mchakato wapimwe na wanachama ila kusiwe na zuio toka baraza la wazee.
 
Tatizo wana CHADEMA walio wengi bado wanabeza kuwepo kwa mpasuko huo, afadhali wewe KIM KARDASH umekubali ukweli na kutoa mapendekezo yako. Kama ulivyosema, tumezoea kuona vyama vya upinzani vikiibuka na kuzama kila kunapokucha na mifano mizuri ni hiyo uliyoitoa. Tofauti hizo zinazoleta mpasuko zisipo rekebishwa mapema hii CDM nayo itabaki historia kama ilivyokuwa NCCR Mageuzi ya Mrema.
 
Back
Top Bottom