Dear Mr. President
Najua utakuwa umesoma saikolojia na hivyo kujua jamii nzima ya kitanzania ,ikoje, inasemaje, inawaza nini nawapi
Juzi nilipata taarifa mahali fulani watu wamegoma mchungaji wao kutunzafedha...and I know the guy is clean!!! very clean...ILA haaminiwi!!!
Tabia ya watanzania kusema lolote, kutokuamini, ushabiki, n.k ni TABIA ambazozimeletwa na CCM, WATANZANIA WANAPITIA KWENYE UCHUNGU MWINGI SANA ambao wakuweza kuwaponya ni viongozi hao hao
Watanzania wameona wakidhulumiwa kupitia IPTL, madini, Richmond, EPA n.k.......vidondahivi (TRUST ME) viko tu na bado havijaponywa....watanzania hawa ndio maanahawajishughulishi na siasa, hawapigi kura, maana wameumizwa
Imefikia watanzania kujichukulia sheria mkononi...kwa sababu mahakama naserikali hazifanyi lolote lile
Katika waliochukua hatua wenyewe wewe ni wa kwanza, ukatoa list of shame, nakweli ilivuma na ukaendelea kusema hata leo hii!!
Lakini hiii tabia haikuishia kwako, imeenda tena na tena na imeenda mbali zaidina mpaka makanisani na misikitini WATU hawaaminiani! Hata wewe sasa wenginehawakuamini...sio kwa sababu ni mwizi ,IT IS LIKE THAT...ITS IS NATURAL.we arein that situation now!!!
ukinunua kigari hata kama ni chamkopo..watasema fisadi, ukijenga nyumba watakuita hivyo hivyo..JAMII YETUINAUMWA
Lakini unajua tatizo limekuzwa wapi.???WALE TULIOWAITA MAFISADI KWA MIAKA 7SASA BADO WANATEMBEA KWA VING'ORA NA WANAPIGIWA SALUTI....ile hamu na tamaa yawatanzania ya kuona ukombozi imefifia sana na tabia ya kutoaminiana itakuwazaidi
Hii tabia ikikua zaidi, una punguza uzalendo kwani kila mtu atakuwa anawaza yyna familia, wakipunguza uzalendo rate ya kupiga kura nayo inapunguasana,,,,,rate hii ikipungua inawapa mwanya watawala wafanye lolotelile.....THEN ONE DAY SOMEWHERE SOMEHOW BIAFRA inaweza kutokea...Biafraikitokea mambo ya vyama automatically yanakuwa hayana nguvu
Slaa muda wa watanzania kuvumilia huu uchungu umeisha..na wewe maadamuulijipambanua, uliaminiwa , na unaitwa rais hata leo hii hivyo jamiiinamatumaini..japo yanaanza kupotea sana
Slaa umekuwa mpole mno..Morgan Tshangirai hayuko kama wewe, Raila hayuko kamawewe
Umekuwa mtu wa compromisation mno...YAANI ILE NGUVU YAKO NA SPEED YAKO BADOHAITOSHI SANAKUWASUKUMA CCM nje ya serikali!!
Na unaweza siyo kuwa hauwezi nakusahuri hivi
1. Be genuine
2. There is no non violent revolution.....sisemi upigane vita, ila msimamo wakoujulikane wazi...be radical !!
3. Acha ukaribu na CCM na is not time to exercise any friendship au humanitynaCCM , swala la kushikana mkono na JK ulimpa kichwa that was wrong..ningejuamapema ningekuzuia..."kwa nini haukuniuliza"??
4. Be you
5. Tengeneza mazingira ya kuwa rais....kuwa karibu na makundi yote na epukakabisa kanisa au msikiti kujionyesha unakupenda, au kukutetea kwa namnayeyote..Be the symbol of the father of nation bila ubaguzi
6. Acha mabifu/uadui na watu fulani fulani wa kwenye chama chako, kwani ndiojeshi lako
7. Know and try to understand the vision of others, that will simplify yourwork of seeling urself as rais
8. Learn from others , i.e from great leaders and from history of othernationS..kwa mfano hali ninayoielezea hapo juu inashabihiana kabisa na kipindicha zile scandal za watergate
9. Calm down, usijitetee sana,jamii itakutetea, mshauri mama awe nyuma yako na asionekane mbele yako
10. Dont trust every ushauri weighout its pros and cons, kwa mfano kuna ushauriunaweza pewa na mshabiki wako fulani ambao hauna reality ila katoakukupamoyo...dont take that!!!
Its enough to say kwa lolote utakaloaambiwa, kuzushiwa , kutukanwa anything nimwendelezo wa yale yale waliyotukanwa akina Kikwete, Lowassa na CCM yote....
Chukua mfano mmoja, ikiwa the great leaders like Nyerere,washington , akina Mandela wanasemwa, wanazushiwa, wanakuwa mocked , isiwe wewe??
Au Ikiwa watu waliwapinga kwa nguvu akina Muhammada naYesu isiwe wewe??
Its life enjoy it , RELAX, move ahead people need you…..Balakasema siyo kila kitu ujibu..
NDIYO kama tungemwona Kikwete humu anahangaika kujibu tuhuma za waberoya utamwonaje si utaona hana kazi??
Wewe ni mwali sasa uonekane kwa matukio ya kuvuta hisia na kupanda mbegu ya ukombozi kwa watu, Tukuone kwenye maandamano ya kudai haki, siyo unawaambia watu humu hawana aibu wakati wanatumia ID za uongo!! they have nothing to loose!
tunataka tuje segerea kama polisi wakikumata!!Ndiyo tunataka unapoandikwa kwenye gazeti unakuwa umefanya tukio ambalo AUTOMATICALLY unakuwa umepiga kampeni ya 2015 na kupunguza gharama za uchaguzi!!
Huu ni ushauri wa mtu anayekupenda sana, ila ataonekanaanakuchukia sana kwani ukienda (nionavyo mimi) kinyume na ninavyodhania nisahihi …NITASEMA TU..
Chukua hii misemo:
I have yet to find a man, however exaltedhis station, who did not do better work and put forth greater effort under aspirit of approval than under a spirit of criticism."
- Charles Schwab
If you have no critics you‘ll likely have no success -Malcolm X"
Never try to teach a pig to sing: itwastes your time and it annoys the pig."
- Paul Dickson