Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,241
- 96,580
- Thread starter
- #41
Mi sina mpangilio kwakweli na nimejaribuuuu ila wapiiiii.
Mwisho nikaamua niweke jitihada maeneo mawili tu kufanya savings na kutenga kiasi kidogo kila mwezi ya kujispoil baaaass.
Bro umesema una mimba?
Kuna watu automatically wanajua kusave
Hiyo jitihada uliyoianza nayo ni nzuri braza
Braza mimba naitolea wapi na hizi kende? Tuheshimiane basi bro