Mpangilio gani tena tumeambiwa dunia tunapita na tutumie pesa ituzoee sasa kula maisha utakuja kupata presha na vidonda vya tumbo kwa kujibana sana et oh nipo najenga yan nishindwe kupiga hata henken zangu mbili au tatu kisa kujenga huko vp chagua duka moja hapo kitaa kununua vitu vyako itakuwa rahisi kukopesheka hata ukiwa huna kitu
Hiyo muhimu mwanangu hivi vichwa bila kurestart mambo hayaendi.Ratiba yako imekaa vizuri,kama imenyooka hivi
Hahaha kupiga maji ningeshangaa kusingekuwepo
Hey people,
Title inajielezea,msinifokee nina mimba changa bado, huu ni muendelezo wa uzi 👇
Hellow people,
Uzi ni kwa wale wanaopenda kuweka akiba
Nitaelezea kwa experience yangu na vile huwa nafanya
Vitu vya kuwa navyo
Notebook (Daftari)
Hii ni ya kuandika mapato na matumizi yako ya kila siku(Mali bila daftari huisha bila habari)
Bahasha
Kwa kugawanya matumizi yako kwa vitengo maalum. kila bahasha ina kazi yake mfano bahasha moja unaandika sadaka,dharula,chakula,nauli
Hatua za kufuata
1. Andika mapato yako
Mfano mshahara wako ni TSh 2,800,000 toa 1,800,000 iweke pembeni usisubiri mpaka mwezi uishe
2. Gawa salio lililobaki kwa bahasha(1,000,000...
- Joanah
- Replies: 548
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Uzi bado
Hongera mkuu😃
me sina mpangilio naponda Mali tu kufa kwaja...Hii ya kuangalia salio mwisho wa mwaka kwa mtu mwenye matumizi ya hovyo anaweza kujikuta analia
Acha makasirikoo ww najua una presha za mtoto mchanga tumboni. Kwanini usisome kitabu cha psychology of money.Daaah! Elimu ni kitu muhimu sana mammmae
Ya ujauzitoEnhe ya nini hongera 😂
Nikijipata nitaanza kutafuta uzi wako na kupitia kwa makini kuchukua madini , sasa sina hata hela ya kupanga bajeti status yangu ni KKB (Kula Kulala Kwa Baba )Hey people,
Title inajielezea,msinifokee nina mimba changa bado, huu ni muendelezo wa uzi 👇
Hellow people,
Uzi ni kwa wale wanaopenda kuweka akiba
Nitaelezea kwa experience yangu na vile huwa nafanya
Vitu vya kuwa navyo
Notebook (Daftari)
Hii ni ya kuandika mapato na matumizi yako ya kila siku(Mali bila daftari huisha bila habari)
Bahasha
Kwa kugawanya matumizi yako kwa vitengo maalum. kila bahasha ina kazi yake mfano bahasha moja unaandika sadaka,dharula,chakula,nauli
Hatua za kufuata
1. Andika mapato yako
Mfano mshahara wako ni TSh 2,800,000 toa 1,800,000 iweke pembeni usisubiri mpaka mwezi uishe
2. Gawa salio lililobaki kwa bahasha(1,000,000...
- Joanah
- Replies: 548
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Uzi bado
Mimi nachojua nimezaliwa na kipaji cha kufanya saving. Nafanyaje huwa hata sielewi ila miaka inavyoenda hela nayo inakua...
Atupe madesa basiAmazing! Hongera mkuu
Bro Evelyn Salt unaona wenye bahati zao hawa