Mpaka sasa sijui sababu ya kuachwa

Mpaka sasa sijui sababu ya kuachwa

Kuna saa unaeeza ukahisi uwezi kumove on bila kufanya jambo, ili naye apate maumivu haitakupunguzia maumivu uliyonayo. Amini kwenye muda, muda ukisogea ipo siku utamsahau na itabaki kuwa historia.

Fanya yafuatayo.
1.mwambie rasmi kwamba tunaachana usikae njia panda kusubiri huenda kuna siku atabadili mawazo NO usisubiri ndo unajiumiza zaidi. Ushaona hakupendi basi amua kuachana naye.

2.JIFUNGIE LIAA MPAKA UTOE KILA AINA YA HASIRA ULIYONAYO. KISHA FUTAA KILA KUMBUKUMBU YAKE KWAKO KAMA NI MESEJI KAMA NI PICHA.

3.waambie wazazi wako hasa kinachoendelea sana sana mama yako.

4.jipe muda wa kuponyesha moyo wako na pia anza kufanya kazi kwa juhudi na penda kwenda sehemu zinazokuvutia. Usijifunge kwamba sitopenda tena japo ujipe muda kiasi kabla ujampenda mtu
 
duuh! Sweetielee Salute kwako, sijui kwenye nyanja nyingine ila kwa hili, umeonesha hekima ya hali ya juu na umeakisi namna ambavyo mwanamke anapaswa kufanya panapotokea changamoto kama hizi. mtakahela ujifunze hapa. Hakuna unachopata kwa kulipiza kisasi zaidi ya kutengeneza chain ya maumivu ya moyo. Kumbuka katika dunia tunayoishi, kila kitu kina impact kwenye ulimwengu wa roho na namna unavyowaza inadetamine wewe katika roho unatengeneza nini kwa maisha ya baaadae.

Jukumu la kulipiza kisasi si lako bali ni la Mwenyezi Mungu pekee.

Lakini pia waswahili wanasema "Mlipiza kisasi haambiwi mwerevu"

Pole sana mtakahela
Shukrani sana mkuu.
Naamini atajifunza jambo jema hapa, umemshauri vyema.!!
 
Haijalishi ulishasema nini kuhusu kuolewa au kutokuolewa, kwasababu suala lenyewe ni mtambuka. Lolote linawezekana, kuna nyumba yako hapa ukisema tu yes. Njoo nikikabidhi funguo
Sawa mkuu nakuja kuchukua funguo,
 
Kuna saa unaeeza ukahisi uwezi kumove on bila kufanya jambo...ili nae apate maumivu...haitakupunguzia maumivu uliyonayo...amini kwenye MUDA muda ukisogea ipo siku utamsahau na itabaki kuwa historia.
Fanya yafuatayo.
1.mwambie rasmi kwamba tunaaachana usikae njia panda kusubiri uwenda kuna siku atabadili mawazo NO usisubiri ndo unajiumiza zaidi.
Ushaona hakupendi basi amua kuachana nae.
2.JIFUNGIE LIAA MPAKA UTOE KILA AINA YA HASIRA ULIYONAYO.KISHA FUTAA KILA KUMBUKUMBU YAKE KWAKO...KAMA NI MESEJI KAMA NI PICHA
3.waambie wazazi wako hasa kinachoendelea sana sana mama yako.
4.jipe muda wa kuponyesha moyo wako na pia anza kufanya kazi kwa juhudi na penda kwenda sehemu zinazokuvutia...usijifunge kwamba sitopenda tena japo ujipe muda kias kabla ujampenda mtu
Ahsante masai dada, naamini nitavuka salama
Pengine haikuandikwa niwe nae
 
We bint una akili sana,umeolewa?
Wanawake mahala pekee tunapokosea ni kwenye maneno, huwa tuna maneno sana hasa pale tunapowasaidia wenzi wetu wanapokwama,

I'm not supporting him kwamba alikuwa sahihi kutokujishughulisha, Ila nina wasiwasi sana na kauli zako ulizotumia wakati unamkumbusha majukumu yake..!!

Inawezekana pia kakupa mtihani mdogo wa kupima kiwango chako cha uvumilivu and you came out with your true colours.!

Mwanaume hata umsaidie kiasi gani cha pesa, kitakachompa thamani ni namna gani utajali utu wake na heshima unayompatia na hii ni tofauti kabisa na sisi wanawake.!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafikiri kwanini nisikuheshimu kwa hekima hii na busara ya kiwangi cha juu namna hii?
Nimekupenda buree
Wanawake mahala pekee tunapokosea ni kwenye maneno, huwa tuna maneno sana hasa pale tunapowasaidia wenzi wetu wanapokwama,

I'm not supporting him kwamba alikuwa sahihi kutokujishughulisha, Ila nina wasiwasi sana na kauli zako ulizotumia wakati unamkumbusha majukumu yake..!!

Inawezekana pia kakupa mtihani mdogo wa kupima kiwango chako cha uvumilivu and you came out with your true colours.!

Mwanaume hata umsaidie kiasi gani cha pesa, kitakachompa thamani ni namna gani utajali utu wake na heshima unayompatia na hii ni tofauti kabisa na sisi wanawake.!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KingY,
Ukifanya hivii nitaanza kuringa bure unajua!
I'm real humbled honestly.!!
 
Back
Top Bottom