Poa karibu sana, nakupa umalikia kuanzia leo. Naomba uachane na KING Y😂 😂
Wewe niamini tu.!
Emergency will itself sorted out.!!
@Sweetielee wangu hili dili nitamu sana kuaminika, kuna jibu la ukweli lenye fumbo umepewa sijui kama umeelewa "mlango wa uani"[emoji23] [emoji23]
Wewe niamini tu.!
Emergency will itself sorted out.!!
Nakukabidhi funguo ya mlango wa uani ya mlango mkubwa nabaki nayo, in case of emergency
Naomba Mungu iwe hivyo dearYaani unaweza ukawa ulimpenda mtu mpaka ukahisi dunia inakulemea
Ila ukija kumsahau utaona kawai
Shukrani sana mkuu.
Naamini atajifunza jambo jema hapa, umemshauri vyema.!!
Nimeshawithdraw hiyo statement. Nakushauri ukubali matokeo bro..@Sweetielee wangu hili dili nitamu sana kuaminika, kuna jibu la ukweli lenye fumbo umepewa sijui kama umeelewa "mlango wa uani"
Maana yake wewe utakuwa spare tairi shtuka[emoji23]
Usiachie funguo zangu zote ukimbilie ka funguo kamoja plz[emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo siku utamsahau.trust meNaomba Mungu iwe hivyo dear
Maana kama kulia ninalia jaman na hivi toka zamani nina machozi ya karibu basi kila siku nina miwani ya jua kuficha macho
Hapana,SweetieLee hujawahi kuona mafahani wakiuana kwa ugomvi?
Umekusudia kushuhudia?[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kwanza nikamuombe Mungu anionyeshe chaguo sahihi.!!Poa karibu sana, nakupa umalikia kuanzia leo. Naomba uachane na KING Y
Ndiyo,
Ndiyo,
Sababu hukunivalisha ukiwa umepiga magoti..!!
Inategemea kisasi anachotaka kulipa asije akawa ndo kajikaanga kabisaPole sana bibie kwa maumivu uyapitiayo but ebu lipiza kisasi ili moyo wako uwe na amani
Ni vizuri akazane tu kuikaza hiyo kamba Big mind!Kuna muda kama nakuelewa vile ila ndiyo hivyo Jesus's mom kaisha nitia kamba shingoni.
Sent using Jamii Forums mobile app