Mpaka sasa sijui sababu ya kuachwa

Mpaka sasa sijui sababu ya kuachwa

Jamaa hana bahati kweli.. anampata dem cash madam bado anamuacha kirais rais hivyo nimeamini upele humkuta asiye na kucha.
Ni jinga kuna jamaa yangu mmoja chuo alipata demu mkali balaa na alikua anampa jamaa kila kitu jamaa lijinga likatafut videmu vya pembn mrembo wawatu analia mda wote
 
SweetieLee,
Huu ushauri haki ya nani hakuna mwanamke anaweza kuutoa isipokuwa jiniazi fulani aliyefundwa akafundika halafu anamuogopa na Mungu. Nimekupenda sana kwakweli naomba unikubalie tujenge maisha..
 
Huu ushauri haki ya nani hakuna mwanamke anaweza kuutoa isipokuwa jiniazi fulani aliyefundwa akafundika halafu anamuogopa na Mungu. Nimekupenda sana kwakweli naomba unikubalie tujenge maisha..
Amina mkuu, shukrani sana!
Nitafanyia kazi suala lako.!

Hivi troublemaker na KingY Mimi nilisema nimeolewa ama bado?? 😂
 
mtakahela,
Maisha ya visasi hayana tija.... ujuwe unayetaka kumlipizua, anajuwa alichokifanya.. hivyo ukiingia ndani ya 18 zake atakumaliza
 
Surely.
Nina mchumba wangu sifichi kanisapoti sana financial, Mwezi huu tunafunga ndoa. Nae kunakitu anakwama..kila wakati anakumbusha pesa alizonisaidia. Mara dear unakumbuka ile ela flan. Mara dear unajua mwnzio musa kagharamikia kila kitu yeye kwa mchumba wake.

Kufupisha tu hadithi nikamwambia tukimaliza issue ya ndoa ntakulipa, Full stop. Wadada fuaten ushauri wa mwanamke mwenzenu.

Sweetlee
 
1gb,
Shukrani na hongera sana mkuu,
Ila hakikisha unamuambia ukweli wa hapo anapokwama, wakati mwingine anafanya hayo na hajui kama unakwazika.!!
 
  • Thanks
Reactions: 1gb
Hapa ndipo wazungu walituacha mbali.
Sie ni wagumu sana kuongea hisia zetu na mmoja akiongea wazi,unakuta mwenzie ndo anaamua kuyatumia maongezi yale kama silaha.Na wanawake hapa nisifiche huwa waongo sana.Mnaweza kuishi hata miaka saba lakini baadae utamsikia ooh!Kwanza nimechoshwa na kibamia,nilikuwa nakuvumilia tu!
Maisha yana mambo mengi saana. Usikute unamlaumu hapa naye kule anamlaumu mtu mwingine.

Wanaume wengi wanaowaumiza wanawake walishaumizwa na wanawake fulani walichonacho kichwani ni wanawake walewale....tatizo kubwa zaidi hatuna utamaduni wa kuongea hisia zetu hili ni hatari saana maana nihisivyo na uhisivyo ni tofauti na hatuambizani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SweetieLee,
duuh! Sweetielee Salute kwako, sijui kwenye nyanja nyingine ila kwa hili, umeonesha hekima ya hali ya juu na umeakisi namna ambavyo mwanamke anapaswa kufanya panapotokea changamoto kama hizi. mtakahela ujifunze hapa. Hakuna unachopata kwa kulipiza kisasi zaidi ya kutengeneza chain ya maumivu ya moyo. Kumbuka katika dunia tunayoishi, kila kitu kina impact kwenye ulimwengu wa roho na namna unavyowaza inadetamine wewe katika roho unatengeneza nini kwa maisha ya baaadae.

Jukumu la kulipiza kisasi si lako bali ni la Mwenyezi Mungu pekee.

Lakini pia waswahili wanasema "Mlipiza kisasi haambiwi mwerevu"

Pole sana mtakahela
 
Back
Top Bottom