Mpaka Saa Hizi Bado Uko Macho?

ShesRise_1

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2025
Posts
17,150
Reaction score
40,482
Kawaida usiku huchukuliwa kama muda wa mapumziko muda wa kuipumzisha akili na ubongo ambao pengine umefanya kazi kutwa nzima

Ukiacha wale wenye shift za usiku madaktari, wauguzi, walinzi, na wengine ambao kwao muda huu ndio kama kumekucha

Lakini kama wewe haupo kwenye kundi hilo halafu mpaka sasa bado huna usingizi

who are you my friend? πŸ˜…

ShesRise_1 😴
 
Nipo tu apa nakuwaza wewe tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…