Mpaka leo sijaelewa ziwa victoria na msaada wake kwenye huduma za maji kanda ya ziwa

Shida kubwa ni uongozi,mwauwasa ndio moja ya taasisi ya maji kwa miaka hii iliofeli kulinganisha na namna ya upatikanaji wake wa maji. Sanga alijitahidi sana kuingoza hii taasisi lakini baada yake hawa waliofuata ni bure kabisa. Tazama mradi wa Butimba,tangu unaongelewa kuanza kazi mpaka leo wapo kwenye majalibio,mashine zilizofungwa hazikidhi haja ya huduma iliokusudiwa,na kuna watu walifanya visibility study kabla ya mradi kuanza. Rushwa ya 10% imegarimu sana nchi hii,raia hawana maamuzi katika changamoto zinazowahusu zaidi ya wana siasa uchwala. Hapa mpaka waziri tena aamue kumtumbua huyu bibie aliemuweka,hii taasisi ilitakiwa ikimbizane kimapato na dawasa,lakini sababu ya uongozi mbovu usio na vision bado wanachechemea. Mwenyekiti wa bodi mwenyewe chenga,yaani kiufupi taasisi imeoza inahitaji reformation.
 
Wewe andika uongo tu ila bibi yako anateseka huko. Lini ulikuwepo shinyanga, nzega, Igunga, kahama, Geita, Kishapu, Shinyanga, Bukombe, Simiyu, Mwanza halafu hujaona maji ni shida?
We muache tu
Watu tuko Ilemela -Mwanza , kata ya Buswelu ,makao makuu ya wilaya , huku karibu kabisa na ofisi za wilaya na bado maji ni ya mgao mkali kila siku miaka yote
Nchi ya kipumbavu sana hii
 
Back
Top Bottom