Mpaka 2020 mtamjua Magufuli ni nani, kilio cha samaki...

Mpaka 2020 mtamjua Magufuli ni nani, kilio cha samaki...

mpaka ifike 2020 watanzania watatambua magufuli ni nani, tujuao magufuli si mwanasiasa na yupo kiutendaji na kibaya zaidi anaamini alichokiamini hakina mapungufu ,ushahidi mwingi upo wakati alipokuwa ujenzi.

Kiongozi yeyote mwenye kujiamini sana, mwenye kulewa sifa na madaraka huanza kuharibu bila kujijua

angalia hata we we
Nyumba zaidi ya 8000 kubomolewa bila kulipa choxhote au kupewa viwanja mbadala na huku maeneo yanayovunjwa yakidaiwa kujengwa vitega uchumi kama city park. tutulie hivo hivo kama kilio cha samaki

wafanyakazi wengi kutolewa kwenye payroll bila sababu za kueleweka mfano halisi hakuna ht mwenye kufatilia wala kutaka kujua kweli kilio cha samaki.

bidhaa,vyakula, vyote vimepanda bei lakini hakuna mwenye kusema maskini ataakilia nani atakusikiliza wakati hapa no kazi tuu, kweli kilio cha samaki.

Huduma na vipimo vya afya vimepanda being,dawa bado hazitoshi watu wanateseka mahospitalini, lakini utamlilia nani kila MTU kashughulishwa na hapa kazi tu kweli kilio cha samaki.

mawazo mbadala yamepigwa marufuku na wazirivmkuu ili wenyewe tu ndio wasikike,je kilio cha mnyonge kulechini nani atamsemea,nani analiona hili kila MTU hapa no kazi tu, kweli kilio cha samaki.

watu wanaibiwa kura mchana kweupe na meya anasimamishwa na wanaodai haki zao wanapelekwa kwa Plato kweli kilio cha samaki
sisikii tena suala la katiba mpya limefunikwa,usichangie likapigwa teke nani anajali, watu wamegeuzwa vipofu hats ukilia utakua kama samaki machozi huenda na maji.

mpaka 2020 mtamjua magufuli,mtaisoma namba,ila itakuwa kama machozi ya samaki........

Argue,don't shout!

ushangatwa na nyuki uatafuta wa kufa nae tuliza wamalizie mshonoo huoo majungu peleka lumumba hapa kazi tuuuuu
 
Mkuu huo uzi kama utenzi,ila uzi wako kama una ukwel,mzunguko wa pesa kwa mijin hususan hapa dar unashuka,ukiuliza vituo vya mafuta mauzo yameshuka,madukan kariakoo mauzo yameshuka,bidhaa na vyakula bei imeongezeka,ukienda hospitalin daktar yupo lakin utaisoma namba.Waliovunjiwa nyumba wanalia njaa,ila jpm asipokuwa makin anaweza kupata upinzan mkubwa 2020 toka ndan ya ccm na nje ya ccm.Maana hakuna pa kusemea,watumishi wa umma wako kifungon,harakati za kisiasa zimepigwa kufuli ambapo ni sehemu ambayo tumezoea kupata mpya toka kwa watawala.Jpm serikali iwe na pesa ila na wananchi wawe nazo basi.
 
Tushajua Toka Long Time, Magufuli Ni Ccm. Kilio Cha Samaki Kipo Uchaguzi Wa Zenji Na Matumizi Ya Katiba Mbovu. Vilio Vingine Vyaja. EL Ndiye Alishinda Uprezidaa. Watu Wa Haki Za Binadamu Wanasiri Nzito. Jitihada Za Magu Chache Tumeziona Za Kutaka Kututia Moyo, Zimetokana Na Sauti Za Wataka Mabadiliko Wa Wanaukawa Wanaotaka Elimu Bora Itolewe Bure, Magu Anadunduliza Pesa Na Mabadiliko Haikua Sera Ya Team Lumumba Hata Kidogo.Ya'll Should Be Thankful.
 
Marufuku kuuza kipande cha nanasi,tikitimaji uza zima sasa mm sina familia au kipato changu kidogo nitaweza kweli!Marufuku daladala kusimamisha abiria kuanzia kuanzia tarehe mosi 2016,sijui kila kituo kutakuwa na daladala zinaanza safari au daladala zinaongezeka?Marufuku wenye tiba mbadala kujitangaza mpaka wapate vibali upya,marufuku vyama vya siasa kufanya mikutano...mwingine aendeleee.
 
Watu wengi wanaendekeza kumtetea magufuli kichama, na sio kujadili kinacholalamikiwa
 
Mda mrefu sana sikuwahi kuingia JF
Nimeshangaa sana...
 
Nchi hii imefika hapa kwa Unafiki na uzandiki wa watu kama wewe.
Wewe ni zaidi ya Mchawi.
Juzi tu ulikuwa unawasujudia hawa,Leo unaisoma Namba unalia lia.
Tutolee uchawi wako hapa

Walizoea kuvuna wasichopanda, walikuwa wanaimba ccm ni ile ile, sasa jamaa kawatosa, anapiga kazi kivyake hadi wameanza kuchanganyikiwa. Hakuna vyeo vya hisani. Na bado watazidi kuisoma namba mpaka wanyooke.
 
Marufuku kuuza kipande cha nanasi,tikitimaji uza zima sasa mm sina familia au kipato changu kidogo nitaweza kweli!Marufuku daladala kusimamisha abiria kuanzia kuanzia tarehe mosi 2016,sijui kila kituo kutakuwa na daladala zinaanza safari au daladala zinaongezeka?Marufuku wenye tiba mbadala kujitangaza mpaka wapate vibali upya,marufuku vyama vya siasa kufanya mikutano...mwingine aendeleee.

Marufuku kukwepa kodi, marufuku watumishi wa umma kusafiri nje ya nchi.... na bado mpaka muache tabia ya kuishi kwa mazoea, fanyeni kazi, kila mtu ale kwa jasho
 
Kuna watu wanajisafisha hapa. Mabadiliko ni laźima iwe ndani au nje ya CCM.#HapaKaziTu
 
Marufuku kuuza kipande cha nanasi,tikitimaji uza zima sasa mm sina familia au kipato changu kidogo nitaweza kweli!Marufuku daladala kusimamisha abiria kuanzia kuanzia tarehe mosi 2016,sijui kila kituo kutakuwa na daladala zinaanza safari au daladala zinaongezeka?Marufuku wenye tiba mbadala kujitangaza mpaka wapate vibali upya,marufuku vyama vya siasa kufanya mikutano...mwingine aendeleee.
HAPA KAZI TU..........Rais Magufuli Oyeeee....... Zidisha juhudi zako Wa-Tanzania ni wavivu kufanya kazi na kuwajibika..........
 
HAPA KAZI TU..........Rais Magufuli Oyeeee....... Zidisha juhudi zako Wa-Tanzania ni wavivu kufanya kazi na kuwajibika..........
utakuwa huna habari kama matangazo ya tiba mbadala yamepigwa marufuku kwenye media zote
 
Kama mlivyokuwa mkisema kuwa mtamchagua Lowasa hata kama akiwa hoi Kiwandani,nasi tunasema hata kama magufuli akisema kutembea mwisho ni saa12 jioni cc tutaendelea kumpenda tu ..

Endeleeni kumpenda siku ya kutoa mahari musikose kunijulisha na mimi niwachangie.
 
Very soon nawe utaanza lia kilio cha mbwa!!!

Wapinzani hawawezi isoma namba coz maisha wanayoishi Leo ndiyo wameyazoea tangu harakati za upinzani zianze nchini....

Wanaolia na kuisoma namba ni wale wanaCCM waliozoea kula kwa mnyororo sasa wengi wamepigika mno street na kwenye viambaza vya CCM coz mirija na mazoea ya ulaji wao imekatika!!!

Hebu fikiria karani wa of is I ya CCM kata now ana hali gani?

Ndo mana nakwambia very soon nawewe utaanza kulia.....

Unajichanganya! Mara unasema Magu hafai,,mara unasema kakata mirija ya walaji.... sasa tukueleweje? Kwako wew rais anaefaa kwa nchi hii ni yupi?
 
Back
Top Bottom