Mpaka 2020 mtamjua Magufuli ni nani, kilio cha samaki...

Mpaka 2020 mtamjua Magufuli ni nani, kilio cha samaki...

Angepata Lowassa, sasa hivi nchi yetu ingetangazwa mufilisi mapema kabla ya dakika tisini!
 
Watu wamehonga sana na wametumia madaraka vibaya kupata viwanja vilivyotengwa kwa matumizi ya kijamii....leo wanavunjiwa unalalamika!...Pu...mb...vvvvvv
 
Watu wamejenga maeneo ya mito, wakiachwa wakasombwa na maji wakafa utaleta uzi tena kuilaumu serikali....pu...mb...vvvvv
 
Hivi tutabadilika lini Watanzania tumepata Kiongozi anayejali utawala was sheria hafai tena. Is it fair nchi kubaki ya wapiga deal? Naamini yupo na wataalamu mbalimbali watamshauri. Tuwape support itikadi zetu tuziweke pembeni kukosoana pia ni vizuri lakini tuseme nini cha kufanya pale unapoona kuna makosa
 
Hatuna interest na nadharia zako potofu; ww huwezi kumjua au kumfahamu JPM kuliko Mungu wake au Mama yake mzazi! Kinachokusumbua ni maslahi kama mnufaika wa wizi, rushwa, ufisadi na uvunjaji sheria nk nk!
We shall cross the bridge when we get to it! For now ni kutumbua majipu tu!



mpaka ifike 2020 watanzania watatambua magufuli ni nani, tujuao magufuli si mwanasiasa na yupo kiutendaji na kibaya zaidi anaamini alichokiamini hakina mapungufu ,ushahidi mwingi upo wakati alipokuwa ujenzi.

Kiongozi yeyote mwenye kujiamini sana, mwenye kulewa sifa na madaraka huanza kuharibu bila kujijua

angalia hata we we
Nyumba zaidi ya 8000 kubomolewa bila kulipa choxhote au kupewa viwanja mbadala na huku maeneo yanayovunjwa yakidaiwa kujengwa vitega uchumi kama city park. tutulie hivo hivo kama kilio cha samaki

wafanyakazi wengi kutolewa kwenye payroll bila sababu za kueleweka mfano halisi hakuna ht mwenye kufatilia wala kutaka kujua kweli kilio cha samaki.

bidhaa,vyakula, vyote vimepanda bei lakini hakuna mwenye kusema maskini ataakilia nani atakusikiliza wakati hapa no kazi tuu, kweli kilio cha samaki.

Huduma na vipimo vya afya vimepanda being,dawa bado hazitoshi watu wanateseka mahospitalini, lakini utamlilia nani kila MTU kashughulishwa na hapa kazi tu kweli kilio cha samaki.

mawazo mbadala yamepigwa marufuku na wazirivmkuu ili wenyewe tu ndio wasikike,je kilio cha mnyonge kulechini nani atamsemea,nani analiona hili kila MTU hapa no kazi tu, kweli kilio cha samaki.

watu wanaibiwa kura mchana kweupe na meya anasimamishwa na wanaodai haki zao wanapelekwa kwa Plato kweli kilio cha samaki
sisikii tena suala la katiba mpya limefunikwa,usichangie likapigwa teke nani anajali, watu wamegeuzwa vipofu hats ukilia utakua kama samaki machozi huenda na maji.

mpaka 2020 mtamjua magufuli,mtaisoma namba,ila itakuwa kama machozi ya samaki........

Argue,don't shout!
 
Labda sema jingine lakini sio utawala wa Kikwete; phuu!



Wanajaribu kutumia staili ya wakina marehemu Hugo Chaves itacost sana na ipo siku wananchi watauta kwa ushabiki wao huu wa kijinga na ipo siku watu watesema mara 100 na utawala wa kikwete
 
NILIWAHI ANDIKA HUMU

1.serikali hii inaweza kuwa ya hovyo kuliko zote

2.wanapenda mno kulewa sifa

3.rais kazungukwa na watu wabaya sana(ccm)
 
mtalimia meno mchele buku 4000kilo nyanya moja 500 tumeipenda wenyewe
...kweli binadamu haridhiki,anahitajika malaika toka somewhere aje kuongoza tz,kila kitu lazima watu wa qn!!!
 
hata marekani haikufika huko kwa wananchi wake kukaa tuu,watu waliteseka sana hata kama maisha hayatokua mazuri sasa hivi,naimani huko mbele yatakua.... watu tuna taka immediate effect kitu ambacho ni kigumu sana...acha tuteseke tu kwa kesho nzuri..in magufuli i trust
 
Mpaka ifike 2020 watanzania watatambua magufuli ni nani, tujuao magufuli si mwanasiasa na yupo kiutendaji na kibaya zaidi anaamini alichokiamini hakina mapungufu ,ushahidi mwingi upo wakati alipokuwa ujenzi.

Kiongozi yeyote mwenye kujiamini sana, mwenye kulewa sifa na madaraka huanza kuharibu bila kujijua

Angalia hata wewe.Nyumba zaidi ya 8000 kubomolewa bila kulipa choxhote au kupewa viwanja mbadala na huku maeneo yanayovunjwa yakidaiwa kujengwa vitega uchumi kama city park. tutulie hivo hivo kama kilio cha samaki

Wafanyakazi wengi kutolewa kwenye payroll bila sababu za kueleweka mfano halisi hakuna hata mwenye kufatilia wala kutaka kujua kweli kilio cha samaki.

Bidhaa,vyakula, vyote vimepanda bei lakini hakuna mwenye kusema maskini ataakilia nani atakusikiliza wakati hapa no kazi tuu, kweli kilio cha samaki.

Huduma na vipimo vya afya vimepanda being,dawa bado hazitoshi watu wanateseka mahospitalini, lakini utamlilia nani kila MTU kashughulishwa na hapa kazi tu kweli kilio cha samaki.

Mawazo mbadala yamepigwa marufuku na wazirivmkuu ili wenyewe tu ndio wasikike,je kilio cha mnyonge kulechini nani atamsemea,nani analiona hili kila MTU hapa no kazi tu, kweli kilio cha samaki.

Watu wanaibiwa kura mchana kweupe na meya anasimamishwa na wanaodai haki zao wanapelekwa kwa Plato kweli kilio cha samaki.

Sisikii tena suala la katiba mpya limefunikwa,usichangie likapigwa teke nani anajali, watu wamegeuzwa vipofu hats ukilia utakua kama samaki machozi huenda na maji.

Mpaka 2020 mtamjua Magufuli,mtaisoma namba,ila itakuwa kama machozi ya samaki.

Argue,don't shout!
Usijidai hufahamu..Watu wametolewa kwenye payroll kwa kua na vyeti feki au utumishi hewa. Kama ulikua cheti feki au unahusika utumishi hewa usituletee kilio wakati umekula na kusaza haramu.
 
Back
Top Bottom