Mpaka 2020 mtamjua Magufuli ni nani, kilio cha samaki...

mpaka ifike 2020 watanzania watatambua magufuli ni nani, tujuao magufuli si mwanasiasa na yupo kiutendaji na kibaya zaidi anaamini alichokiamini hakina mapungufu ,ushahidi mwingi upo wakati alipokuwa ujenzi.
Kiongozi yeyote mwenye kujiamini sana, mwenye kulewa sifa na madaraka huanza kuharibu bila kujijua

angalia hata we we
Nyumba zaidi ya 8000 kubomolewa bila kulipa choxhote au kupewa viwanja mbadala na huku maeneo yanayovunjwa yakidaiwa kujengwa vitega uchumi kama city park. tutulie hivo hivo kama kilio cha samaki
wafanyakazi wengi kutolewa kwenye payroll bila sababu za kueleweka mfano halisi hakuna ht mwenye kufatilia wala kutaka kujua kweli kilio cha samaki
bidhaa,vyakula, vyote vimepanda bei lakini hakuna mwenye kusema maskini ataakilia nani atakusikiliza wakati hapa no kazi tuu, kweli kilio cha samaki
Huduma na vipimo vya afya vimepanda being,dawa bado hazitoshi watu wanateseka mahospitalini, lakini utamlilia nani kila MTU kashughulishwa na hapa kazi tu kweli kilio cha samaki.
mawazo mbadala yamepigwa marufuku na wazirivmkuu ili wenyewe tu ndio wasikike,je kilio cha mnyonge kulechini nani atamsemea,nani analiona hili kila MTU hapa no kazi tu, kweli kilio cha samaki
watu wanaibiwa kura mchana kweupe na meya anasimamishwa na wanaodai haki zao wanapelekwa kwa Plato kweli kilio cha samaki
sisikii tena suala la katiba mpya limefunikwa,usichangie likapigwa teke nani anajali, watu wamegeuzwa vipofu hats ukilia utakua kama samaki machozi huenda na maji.

mpaka 2020 mtamjua magufuli,mtaisoma namba,ila itakuwa kama machozi ya samaki........

Argue,don't shout!

Unatuambia eti "argue and don't shout" wakati wewe mwenyewe ume-shout hapa.

Acha kulialia
 
nahitaji miaka 5 kuamini LOWASSA si rais wa Watanzania.
 
Wanajaribu kutumia staili ya wakina marehemu Hugo Chaves itacost sana na ipo siku wananchi watauta kwa ushabiki wao huu wa kijinga na ipo siku watu watesema mara 100 na utawala wa kikwete

Ndugu yangu hautatokea utawala kama wa kikwete watu watatukana sana lakini kikwete in kiongozi bora kabisa kwanza alikuwa anawajali maskini Leo umejenga Nyumba hata kama mambondeni lakini kikwete alikuwa hawezi kuvunja ukiburuzwa na maji kivyoko
 
subiri bado kidogo,

mwananchi limeripoti kariakoo watu wanalia hela Hamna,vitu vimepanda bei ole wako maskini
 
mpaka ifike 2020 watanzania watatambua magufuli ni nani, tujuao magufuli si mwanasiasa na yupo kiutendaji na kibaya zaidi anaamini alichokiamini hakina mapungufu ,ushahidi mwingi upo wakati alipokuwa ujenzi.
Kiongozi yeyote mwenye kujiamini sana, mwenye kulewa sifa na madaraka huanza kuharibu bila kujijua

angalia hata we we
Nyumba zaidi ya 8000 kubomolewa bila kulipa choxhote au kupewa viwanja mbadala na huku maeneo yanayovunjwa yakidaiwa kujengwa vitega uchumi kama city park. tutulie hivo hivo kama kilio cha samaki
wafanyakazi wengi kutolewa kwenye payroll bila sababu za kueleweka mfano halisi hakuna ht mwenye kufatilia wala kutaka kujua kweli kilio cha samaki
bidhaa,vyakula, vyote vimepanda bei lakini hakuna mwenye kusema maskini ataakilia nani atakusikiliza wakati hapa no kazi tuu, kweli kilio cha samaki
Huduma na vipimo vya afya vimepanda being,dawa bado hazitoshi watu wanateseka mahospitalini, lakini utamlilia nani kila MTU kashughulishwa na hapa kazi tu kweli kilio cha samaki.
mawazo mbadala yamepigwa marufuku na wazirivmkuu ili wenyewe tu ndio wasikike,je kilio cha mnyonge kulechini nani atamsemea,nani analiona hili kila MTU hapa no kazi tu, kweli kilio cha samaki
watu wanaibiwa kura mchana kweupe na meya anasimamishwa na wanaodai haki zao wanapelekwa kwa Plato kweli kilio cha samaki
sisikii tena suala la katiba mpya limefunikwa,usichangie likapigwa teke nani anajali, watu wamegeuzwa vipofu hats ukilia utakua kama samaki machozi huenda na maji.

mpaka 2020 mtamjua magufuli,mtaisoma namba,ila itakuwa kama machozi ya samaki........

Argue,don't shout!
Kama mlivyokuwa mkisema kuwa mtamchagua Lowasa hata kama akiwa hoi Kiwandani,nasi tunasema hata kama magufuli akisema kutembea mwisho ni saa12 jioni cc tutaendelea kumpenda tu ..
 
" mnataka Mimi ni fanyeje kama mnaona kujenga barabara ni rahisi kunyeni kinyesi mpakae mpate lami"

Hongera sana Mpwa kwa article yako hii. Ila hata wewe ulichangia sana sana kuwapa kichwa CCM mtandaoni. Nashukuru kama umeuona ukweli japo kwa kuchelewa!
 
...kweli binadamu haridhiki,anahitajika malaika toka somewhere aje kuongoza tz,kila kitu lazima watu wa qn!!!
jd41
Mkuu huyu mleta bandiko amebadilika ghafla toka magu aapishwe na kuanza kutumbua majipu. Eti Leo naye anatetea upinzani wakati avatar Yake ni ya kejeli kwa wapinzani. Huyu Jamaa huenda ni jipu Kubwa maana kawa adui wa magu ghafla.
 
Tuna safari ndefu sana kupata raisi mwenye kuipeleka Tanzania mbele. Tuna bahati mbaya sana kupata marais wa hovyo hovyo na viongozi kwa ujumla, hasa awamu hizi mbili. Mungu atusaidie kwakweli
Nikweli mkuu maana hata Lowasa angekuwa rahisi wa hovyo kuliko hata rahisi kikwete.
 
mkuu umesoma Uzi? kuna cha uongo hujapt kukiona ama kukisikia?

Uko sahihi, ndo maana tunashangaa nini kimekukuta mwenzetu, ni kinani walotengeneza hayo yote??? Ndio sababu tulihitaji CCM iondoke tuanze upya lkn we ulikuwa mmoja wa kukwamisha mabadiliko,
 
Kiukweli hata sikukuu ya leo wale walofanikiwa kula wali nyama ni wachache tu , nadhani hali ishaanza kuwa tete .
 
mpaka ifike 2020 watanzania watatambua magufuli ni nani, tujuao magufuli si mwanasiasa na yupo kiutendaji na kibaya zaidi anaamini alichokiamini hakina mapungufu ,ushahidi mwingi upo wakati alipokuwa ujenzi.

Kiongozi yeyote mwenye kujiamini sana, mwenye kulewa sifa na madaraka huanza kuharibu bila kujijua

angalia hata we we
Nyumba zaidi ya 8000 kubomolewa bila kulipa choxhote au kupewa viwanja mbadala na huku maeneo yanayovunjwa yakidaiwa kujengwa vitega uchumi kama city park. tutulie hivo hivo kama kilio cha samaki

wafanyakazi wengi kutolewa kwenye payroll bila sababu za kueleweka mfano halisi hakuna ht mwenye kufatilia wala kutaka kujua kweli kilio cha samaki.

bidhaa,vyakula, vyote vimepanda bei lakini hakuna mwenye kusema maskini ataakilia nani atakusikiliza wakati hapa no kazi tuu, kweli kilio cha samaki.

Huduma na vipimo vya afya vimepanda being,dawa bado hazitoshi watu wanateseka mahospitalini, lakini utamlilia nani kila MTU kashughulishwa na hapa kazi tu kweli kilio cha samaki.

mawazo mbadala yamepigwa marufuku na wazirivmkuu ili wenyewe tu ndio wasikike,je kilio cha mnyonge kulechini nani atamsemea,nani analiona hili kila MTU hapa no kazi tu, kweli kilio cha samaki.

watu wanaibiwa kura mchana kweupe na meya anasimamishwa na wanaodai haki zao wanapelekwa kwa Plato kweli kilio cha samaki
sisikii tena suala la katiba mpya limefunikwa,usichangie likapigwa teke nani anajali, watu wamegeuzwa vipofu hats ukilia utakua kama samaki machozi huenda na maji.

mpaka 2020 mtamjua magufuli,mtaisoma namba,ila itakuwa kama machozi ya samaki........

Argue,don't shout!

Nchi hii imefika hapa kwa Unafiki na uzandiki wa watu kama wewe.
Wewe ni zaidi ya Mchawi.
Juzi tu ulikuwa unawasujudia hawa,Leo unaisoma Namba unalia lia.
Tutolee uchawi wako hapa
 
Jaribu mkumvutia pumzi kidogo, pengine kaamua kubadilika
 
nenda pale kinondoni hananasif uwaulize wale wamama na watoto wao wadogo ukijiwa kisha ulete mrejesho
Kwa hiyo kwa akili zako za matakoni ulitaka wale wananchi waendelee kuishi kwenye maeneo hatarishi?
 
Kwani kwenye kampeni magufuli aliahidi katiba Mpya ?? Acha ukiazi mtoa mada
 
Back
Top Bottom