moyo wangu unavuja damu

Nahisi kama umewadhalilisha Madaktari wetu kwa kiwango cha juu sana......
Hivi kweli madaktari wetu, hawa hawa ninaowajua, hivi kweli jamani........................!
 
ha ha ha
akinihukumu lazima nile kengele zake usiku.

Hivi unadhani ni raha kutoa njugu kama hongo?

Kuna mmoja alikuja hapa analalamika katoa hongo na umeneja kapata ila anajichukia sana.

Hata kwa mke si jambo rahisi kujitoa bure bure tu.

nioneshe hiyo thread aisee
 
Fifty fifty aisee

kuna watu shule walikuw na uwezo wa kupata B+ kwa akili zao, lakini wanagawa njugu ili wapate A.

Huko kwingine siwezi kupasemea, ila kwa hili la mtu yuko anapigania uhai??

Lazima limtikise mtu bana, kumbuka hakuna hata muda wa kuuza vitu home ili ulipie.

Hivi mtu akikuokoa kwa staili hii, ukipona unamhukumu??

ukishaniokoa staili hiyo
utakuja kunisimulia?
 
hivi unadhani wana muamana basi??

Unapeleka mgonjwa dokta yuko bize anakutongoza

unabaki unawaza, hivi hawana hata miiko??

Sembuse mtu yuko mahtuti, lazima walie hapo hapo, sishangai kabisa hapa.

Nahisi kama umewadhalilisha Madaktari wetu kwa kiwango cha juu sana......
Hivi kweli madaktari wetu, hawa hawa ninaowajua, hivi kweli jamani........................!
 
Nahisi kama umewadhalilisha Madaktari wetu kwa kiwango cha juu sana......
Hivi kweli madaktari wetu, hawa hawa ninaowajua, hivi kweli jamani........................!
ah Mtambuzi,katika haya maisha ya kutoa mimba kila uchao na kulala na hao hao waliowatoa mimba nini hakiwezekani hapa?sio wote lakini ila walioswain wapo mkuu tena kuliko tunavoweza kufkiria,japo hilo halikuwa lengo la kuanzisha thread hii!
 
hivi unadhani wana muamana basi??

Unapeleka mgonjwa dokta yuko bize anakutongoza

unabaki unawaza, hivi hawana hata miiko??

Sembuse mtu yuko mahtuti, lazima walie hapo hapo, sishangai kabisa hapa.

yamekukuta?
 
ukishaniokoa staili hiyo
utakuja kunisimulia?

mi nakusimulia vizuri tu!hasa kama ulipata hayo matatizo kwenye kufumaniwa nakupa za uso tu!ujue ulinywe au ulioge!au uutwange ukiwa mbichi au uuanike!
 
My dear kichaa wangu, there is no situation nitakayotumia kujiokoa wala kumuokoa mwanangu kwa kutumia mwili wangu! Huwa najiwazia situation ya kubakwa ikinikumba (Mungu apishie mbali). Niko tayari kufa kuliko nibakwe. Na mapambano ya kumuua ama kuuliwa na rapist huyo ikishindikana wakati wa process, nitahakikisha anapatikana na nitamuua! I can't live with myself after that na offender wangu anakula maisha! So hata kama ni kuokoa mwanangu niliyemzaa, nitaiba, nitatapeli, nitadanganya, nitakopa hadi mortuary! Lakini sio kuuza mwili sexually! Seuze kumsave mwenza, hata kama hajanikosea na nampendaje, kha!
Never Say Never!

Kuna saa unajikuta umeenda extra mile to save a 'bastard'

Roho ya mtu kubwa sana jamani, achia mbali baba wa watoto wako. Unadhani utakubali uone wanapoteza baba kirahisi?
 
Is it? kwani kutosamehe ni dhambi?

kutosamehe?mh sina hakika lakini kimsingi kusamehe ni ngumu sana kwa mwanadamu!kuna jamaa yangu mmoja hivi aliwahi kunimbia bwana wewe kusamehe sio kitu rahisi i see Mungu mwenyewe alikuwa anawapa maadhabu kibao wamisri !alisema kama utani lakini ilinipa tafakari sana kiukweli!
 
mi nakusimulia vizuri tu!hasa kama ulipata hayo matatizo kwenye kufumaniwa nakupa za uso tu!ujue ulinywe au ulioge!au uutwange ukiwa mbichi au uuanike!

hebu toa mfano wa kunisimulia
jifanye mi ndo mumeo
nisimulie ulivyomegwa nisikie
 
we hujawahi tongozwa na dokta?

ahahhahaahhaah umehamia kwangu!mi kwa kweli sijawahi kutongozwa na dokta ninseme uongo!ila nina mashosti wameshawahi kunisimulia hicho kitu u can imagine one of them alikuwa yuko preg miezi kama nane hivi!sio madokta wote wako hivo
 
Na hutaamini atakupiga chini ahamie mtaa wa pili na mwanafunzi wa CBE ama Ustawi! Yaani haifai kuuza utu wako for any who! Ggghhhrrr!
mi nakusimulia vizuri tu!hasa kama ulipata hayo matatizo kwenye kufumaniwa nakupa za uso tu!ujue ulinywe au ulioge!au uutwange ukiwa mbichi au uuanike!
 
under normal circumstance huwezi ni kweli.

Na case ya kubakwa ni tofauti zaidi.

Case ya kifo kwa mtu wa karibu utakopa saa ngapi? Utaiba saa ngapi??

Am just thinking loud hapa na kutafakari tu.

Inatisha sana lakini hivi vitu vinatokea.

Hivi unajua 'dawa' ya mtoto wako wa kiume kama ukimzaa 'hafanyi kazi'?

Kama unashindwa hii, huyo mtoto utamsaidia? Maana inatisha zaidi.
My dear kichaa wangu, there is no situation nitakayotumia kujiokoa wala kumuokoa mwanangu kwa kutumia mwili wangu! Huwa najiwazia situation ya kubakwa ikinikumba (Mungu apishie mbali). Niko tayari kufa kuliko nibakwe. Na mapambano ya kumuua ama kuuliwa na rapist huyo ikishindikana wakati wa process, nitahakikisha anapatikana na nitamuua! I can't live with myself after that na offender wangu anakula maisha! So hata kama ni kuokoa mwanangu niliyemzaa, nitaiba, nitatapeli, nitadanganya, nitakopa hadi mortuary! Lakini sio kuuza mwili sexually! Seuze kumsave mwenza, hata kama hajanikosea na nampendaje, kha!
 
hebu toa mfano wa kunisimulia
jifanye mi ndo mumeo
nisimulie ulivyomegwa nisikie
there are things in life are difficult to narrate!ahahahahahhaa ngoja kiboko yako nyumba kubwa ndo anakumudu wewe
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom