moyo wangu unavuja damu

Unafikiri likimkuta la kumkuta
anaweza kumegwa kirahisi?

Sina hakika The Boss .....hivi unadhani kumegwa kirahisi ni kazi rahisi eeh?

Nna hakika hata hapa kwenye hii mada tunachangia kirahisi vile hayajatukuta kiukweli......hivi wewe mwanaume atoke kufumaniwa afu ajeruhiwe then uje umegwe kumsaidia tiba???......kwangu mimi isingewezekana asee.....kiukweli ningemuacha afie huko ICU au aje huyo aliyemsababisha akajeruhiwa amegwe ili yeye apate tiba!

Tuchangie tu vile atupo kwenye ukweli halisi!
 
Last edited by a moderator:
Hayo mambo ya ultra sound nilishampiga maroufouk mama yenu na kama ni matibabu nampeleka hospitai ya Wairan pale Mikocheni maana pale mwanamke anatibiwa na daktari mwanamke na mwanaume anatibiwa na daktari mwanaume.... Chezea Mtambuzi weye.. madaktari wa bongo watamsikia mama Ngina hapa hapa JF..... ujinga uwatoke
pana chezeya baba ngina sisi!
 
Hahaha! Nakupendaje? Manake akili yako imefyatuka kama ya mke mwenzio! Ujue Paw aki-RIP nahamia kwako tuwe wake wenza kiukweli!
Sina hakika The Boss .....hivi unadhani kumegwa kirahisi ni kazi rahisi eeh?

Nna hakika hata hapa kwenye hii mada tunachangia kirahisi vile hayajatukuta kiukweli......hivi wewe mwanaume atoke kufumaniwa afu ajeruhiwe then uje umegwe kumsaidia tiba???......kwangu mimi isingewezekana asee.....kiukweli ningemuacha afie huko ICU au aje huyo aliyemsababisha akajeruhiwa amegwe ili yeye apate tiba!

Tuchangie tu vile atupo kwenye ukweli halisi!
 
Last edited by a moderator:
dah! huu wimbo niliusikia East africa, supermix Zembwela alikua akiongoza kipindi, machozi yalinitiririka nilivaa viatu vya mwanamke yule vilinibana, ila nkabaki najiuliza hivi kwa nini mpaka wanaume wanapopatwa na mabaya ndo wanatambua umuhimu wa wake zao ,kuna baba mmoja jirani ni mtu mzima mwenye watoto wakubwa amepata stroke alivyokua mzima alikua ni bonge ya kicheche lakini alipopata stroke kamrudia mkewe sidhani hata wale aliokua anakula gud time nao walishawahi hata kumsabahi ila mke wake ndo anamhudumia hivi kwa nini wanaume mcjifunze kutokana na makosa yanayotendwa na wenzenu kuliko kusubiri yawakute ni hayo tu.
 
mimi zamani nilikuwa sielewi kwa nini ukiolewa mama yako analia,kumbe analia kwa kukuonea huruma kwa mambo utakayokutana nao ktk ndoa!ule wimbo unasikitisha kwa kweli,maana binafsi naona yule ni mwanamke wa pekee,kuvunja amri ya sita kwa ajili ya mume!kweli never say never!
 
Dah! Aisee! Sasa tunda la mama watoto limeliwa kavu kavu?

Mama nanihiii si ungemwambia jamaa avae zana??

Inakuwaje hapo mbona balaa juu ya mkosi!!!
 
Sina hakika The Boss .....hivi unadhani kumegwa kirahisi ni kazi rahisi eeh?

Nna hakika hata hapa kwenye hii mada tunachangia kirahisi vile hayajatukuta kiukweli......hivi wewe mwanaume atoke kufumaniwa afu ajeruhiwe then uje umegwe kumsaidia tiba???......kwangu mimi isingewezekana asee.....kiukweli ningemuacha afie huko ICU au aje huyo aliyemsababisha akajeruhiwa amegwe ili yeye apate tiba!

Tuchangie tu vile atupo kwenye ukweli halisi!

You are ruthless...
 
niko pamoja nawe sweetlady hapa watu wanasema tu kihalisi ni wachache sana wanaweza ni9 masimulizi tu haya kama ni mimi nachomoa kabisa na mipira ya drip zenyewe.pili aliyeimba huu wimbo anajinasibu yeye ni mlokole maandiko ndivyo yanavyoelekeza majaribu yatatuliwe kihivyo.samtaim baadhi ya hawa walokole hawa wana matatizo sana hawa.kwanini katika wimbo wake asioneshe mwanamke akisaidiwa baada ya kumwomba mungu na badala yake anaonesha tatizo likitatuliwa kizinzi.
 
Hahahaha philipo kidwanga nimecheka hiyo ya kuchomoa dripu lol!

Hapo ndipo nami najiuliza kuwa ina mana Mungu alimtupa kabisa huyu mdada mpaka ikabidi atumie njia ya kishetani hivi?
 
Last edited by a moderator:
Hahaha! Nakupendaje? Manake akili yako imefyatuka kama ya mke mwenzio! Ujue Paw aki-RIP nahamia kwako tuwe wake wenza kiukweli!

Hahahaha mke mwenza mie na wewe tena???.....yaani hata ukitaka uanze kuhamia kidogo kidogo ruksa!
 
huyo dada sio shetani''mwanamke mtamu''shetani ni aliyetunga huo wimbo.

Hahahah samahani nafuta kauli yangu lol.....hata hivyo hawa waimbaji wetu wa siku hizi sio kabisa....wanaimba kujipatia kipato na sio kufikisha ujumbe kwa watu.......mie ndio mana nawapenda sana wale ambasadaz of christ.....uimbaji wao ni mzuri na wametulia!
 
kwani ulitaka kunitusi?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom