moyo wangu unavuja damu

Kwanza nikijiangalia mimi kama Kipipi huwa niko tayari kupokea dharau, masimango na matokeo yoyote hasa kwenye mambo serious kama haya, mradi tu niwe free na nisibaki na kiporo cha kunikondesha nafsi yangu! Well, sitakuwa na haja ya kuogopa saana.....na as long as kaitisha kikao nadhani kazi yangu itakuwa ni kusema kila kitu mengine wataamua wenyewe.
 
NAOMBA MWENYE AUDIO CLIP ATUWEKEE TAFADHALI wengine
tuko madongo kuinama kuipata cd shughuli
 
Nimelia jamani japo ni wimbo but haya yanatokea ktk maisha ya kila siku. Ni mambo ya kujifunza sana haya.
 
Dah mwanamke hakuw na lolote la kufanya xo aliladhmika kufanya hvo kwa sabab alimpenda kiukwel mmewe bt mwanaume ndo ana makoxa kwan ndiye mxababishaj!
 
Dah mwanamke hakuw na lolote la kufanya xo aliladhmika kufanya hvo kwa sabab alimpenda kiukwel mmewe bt mwanaume ndo ana makoxa kwan ndiye mxababishaj!

hivi kiswahili toka lini kimekuwa na silabi x,?
 
Nimelia jamani japo ni wimbo but haya yanatokea ktk maisha ya kila siku. Ni mambo ya kujifunza sana haya.
POLE MY DEAR,mimi pia nililia sana siku nausikia huu wimbo,ni kweli haya maisha yana mafunzo mengi sana!
 
wimbo unaitwa DUNIA HAINA HURUMA sang by Bahati bukuku move yake inakuja soon na video masupastaa wa ukwel hapa bongo watashirik so keep waiting if u a interesting!
hasason nimeitafuta kwa youtube nimeikosa!!nitaipaje?
 
Last edited by a moderator:
POLE MY DEAR,mimi pia nililia sana siku nausikia huu wimbo,ni kweli haya maisha yana mafunzo mengi sana!

Sure, unaweza kufanya jambo kwa good intentions tena ukisacrifice many things na kurisk maisha, just to help the one you love. Lakini mambo yakiwa mazuri, ukifanya kosa dogo tu, hupewi hata nafasi ya kujieleza na unaweza kujuta. kwanini ulifanya uliyoyafanya.
 
jaman wanamuziki wa gospel ndio wanakamata soko la mzik hapa tz na ndo wenye mafanikio ukilinganisha na secular yan rose muhando naskia ana hela!
 
Story imenivuta hisia. Well, ina mafunzo mengi. Hii dunia kweli majaribu.
 
Nimejifunza kuwa huruma zinawaponza wanawake na wapo tayari kugawa 'downstairs' wanapofikwa na matatizo.
 
Back
Top Bottom