Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 46,685
- 121,535
Sipendi kujaribiwaKwa nn usijaribiwe eti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sipendi kujaribiwaKwa nn usijaribiwe eti
Ananiudhi mimi saa nyingine huyu mwanaumeNdio mana huwa sitaki kukuona ukiumia
Weeeeh acha kumdanganya
Akaaa sitaki mimi,nitamtafuta mwenyewekutaftumiwa huko bebe tena
Mwambie Shunie mimi sijaribiwi
Semaaaa mamaNdio uache kunitesea ndg yangu
me staki wa jf tenaAkaaa sitaki mimi,nitamtafuta mwenyewe
hapo sawa kipenzime staki wa jf tena
Sante sana
Fanya hivyo Anti nakusubiriShangazi bwana
Nahisi kuikatisha ujue hii story nahisi kama watu hawajaipenda
me staki wa jf tena
nje ya jf, yan asiijue jf kabisa labda niamue kumuunganisha humuUnataka wa wapi Madam ili nitangulie unikute humo!?
nje ya jf, yan asiijue jf kabisa labda niamue kumuunganisha humu
HaloooooUnataka wa wapi Madam ili nitangulie unikute humo!?
hahahahaha jaribuSijui niwaombe mods waifute ID yangu nisiijue jf kabisa, uniunganishe nianze upya..