Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 46,945
- 122,214
Ahsante kipenzi changu
Ahsante kipenzi changu
Chochea tu moto, ukiungua mimi simo
Ebu niache huko...Weeeeh acha kumdanganya
Nakuona tu M/kiti wa kamati ya roho mbaya.Ndio mana huwa sitaki kukuona ukiumia
kutaftumiwa huko bebe tenahajui kuwa mwifwa bado ni wangu
hahahahahaa nilikua nakutania bana akiniacha mabebe wa jf tena nooooKhaaa sema kweli jamani kwani kwa arch ushaachika uje makapuku sasa nikupe
Chochea tu moto, ukiungua mimi simo
Nakuambia mbinu zako za kuvuruga mambo yetu hazitafanikiwa hata kidogoNaanzaje kukuacha mm unanitesea ndg yangu
Mwambie Shunie mimi sijaribiwiWe endelea na maneno yako lakini bae wako ndio anataftiwa mwengine huku ukiona
unajiamini nnMwambie Shunie mimi sijaribiwi
Najiamini kupendwaunajiamini nn