Moyo Mashine....

Mkuu hata mimi sijui. Kwahio wimbo ni mmoja, nyimbo ni nyingi? Huwa nachanganya tu.

Mm sio mtaalam wa kiswahili cha class ila najua Wimbo (huo), kisu (hicho), utashangaa sana kusikia mtu anasema 'mguu hiyo' how comes??

Wimbo ni (huo) sio wimbo/nyimbo (hiyo) ni ushamba wa kijinga
 
mwenyewe nimemkumbuka tu kwenye mboga saba mashairi yake yananihusu huwa nacheka sana sijui hata wimbo wake mwingine
Kuna ule Pesa....ni mzuri ukiwa kwenye partying mood making it rain,if you what i mean....hebu funguka mistari gani ya mboga saba inakuhusu?
 
Mmh kwa wale wasiokufahamu eeeh, ntawashtua mapema mbona


Teh wimbo wanausikia na wanauimba vizuri tu, kama hauwahusu vile
Hebu futa kauli tafadhali......Kwenye video ya moyo mashine naona ile dinner unayoiota! 🙁🙁🙁
 
Kijana katoa kitu kimeenda shule
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…