Movie zangu kali za utotoni!

ENTER THE DRAGON - BRUCE LEE
liIlkuwa Boonge moja la movie la mkali bruce, hapo mwishoni full kutafutana kwenye vioo...!!!
enta2.jpg enta56.jpg enta4.jpg
 
Mwanamama wa ukweli CYNYTHIA ROCK, hapo kwenye YES MADAM..

cy1.jpg cy6.jpg cy34.jpg
kulikuwa na nyingine zake kali kama ABOVE THE LAW etc, kwa kifupi huyu mama alikuwa ananikosha saana enzi zile za utotoni...
 
Moviez Zangu Za Utotoni.
1.Rambo anaruka mlimani halafu anajishona
2.Anorld ya Jini
3.Warbus
4.Chuck Norris anapita juu ya nyaya za umeme

NB.Tulikua hatujui majina ya Movies tuliadithiana kulingana na matukio
 
Haha yan mie mpaka leo kuna Picha naisikia sijawah iona ya Jet lee Bodyguard from belging nasikia nzuri. Mie napenda BAKITA NA YANKEE ZULU.
 
Haha yan mie mpaka leo kuna Picha naisikia sijawah iona ya Jet li Bodyguard from belging nasikia nzuri. Mie napenda BAKITA NA YANKEE ZULU.
 
Haha yan mie mpaka leo kuna Picha naisikia sijawah iona ya Jet lee Bodyguard from belging nasikia nzuri. Mie napenda BAKITA NA YANKEE ZULU.

ayaa mkuu embu chukua jojo kwa mangi ujinyongee,duh ni noma 2likuaga 2naangalia mara 2 2
The_BodyGuard_from_Beijing.jpg

bodyguard_from_beijing.jpg
 
Jamani wakuu me kuna hii Movie ilikuwa inanikoshaga sana enzi hizo.
Inaitwa JUMANJI.
Mastering ni ndugu 4cjui 3 wale,mwisho mdogo wao wa kiume anaota mkia,then game likiisha Wanyama woote na watu wanaingia ktk kitobo kilichopo ktk game.
Jamani mwenye hyo Movie anielekeze,
ntaipata wapi?


Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
Kuna mtoto humu ndani anaitwa Pirlo, alikiomba kitabu matokeo yake akawa na zinga la mkia.
Jumanji ninayo mkuu.
check na mimi kwa upole na unyenyekevu nikupatie nakala yako.
 
Moviez Zangu Za Utotoni.
1.Rambo anaruka mlimani halafu anajishona
2.Anorld ya Jini
3.Warbus
4.Chuck Norris anapita juu ya nyaya za umeme

NB.Tulikua hatujui majina ya Movies tuliadithiana kulingana na matukio


Na tulikuwa hatuiti movie...bali tuliita Picha...
So unamuuliza mwenzio ''Picha la Andhaar Kanun umelideku?''
Au Picha la Amne Samne umelicheki?
Au picha la Loha umelidekshia?

kama hujawahi kuingia Odeon, new chox, cameo, empire, avalon, star light na majumba mengine ya kuonyesha mapicha basi we mlugaluga.
 
mm nilimchukia sana huyu cyborg na van damme walivokua wanajiona wababe
1309699876_1.jpg images.jpg hapa lili mnyooshea kidole dame likasema UR NEXT bada ya kumvunja mjamaa mmoja mguu hadi mfupa ukatokeza kwa nje 220px-Bloodsport.jpg 1313679403_cyborg-905724.jpg
 
nyingine hiyo,nani aliicheck. Baada ya hiyo picha mkitoka ukumbini full kupigana kung fu 2 teh teh teh
23421.jpg

LuckySeven+1986-6-b.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom