King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,838
- 94,995
Oooh thanx...ndio ile mwanamke alianguka kutoka milimani alikuwa kashikiliwa na Rambo mkono akamponyoka?
Niliiona zamani sana kama mwaka 1989 kuna baadhi ya scene nimezisahau.
Oooh thanx...ndio ile mwanamke alianguka kutoka milimani alikuwa kashikiliwa na Rambo mkono akamponyoka?
Mzee yupo Hai.
Nilimkubali kwenye Muvi za
1.ANDHA KANOON
View attachment 2059032
2.MARD TANGEWALA
View attachment 2059035
3.TOOFAN
View attachment 2059042
4.GANGAA JAMUNAA
View attachment 2059061
Deadly prey(komando kipensi),no retreat no surrender,above the law,lucky seven,anord ya jane,movie zoteee za bushmen(the gods must be crazy),... honourable mention Koyla,loha na teri meheribaniyan......hizi muvi zilifanya utoto wangu uwe mzuri sanaZifuatazo ni baadhi ya movie zangu kali nilizokuwa nazipenda sana wakati wa utotoni!
Commando - Arnold Schwarzenegger
View attachment 55103 View attachment 55104 View attachment 55105
Double impact - Van Damme
View attachment 55107 View attachment 55108 View attachment 55109
Drunken master - Jackie Chain
View attachment 55110 View attachment 55112 View attachment 55113 View attachment 55114
Hadi leo huwa haziniisha hamu kuziangalia, na huwa zinanikumbusha mbali sana!!!
Tupia hapo chini movie gani ilikuwa kali kwako wakati wa utotoni wako/ ujana wako, kwa wengine ni kama vile enzi zileee za video show wakati tv hazijakuwa zimetapakaa hivi!! Ukiweka na picha itakuwa poa zaidi(japo sio sheria)...
We unaangaliaga movie za kihindi?[emoji849][emoji849][emoji849]𝐤𝐮𝐧𝐚 𝐦𝐨𝐯𝐢𝐞 𝐲𝐚 𝐤𝐢𝐡𝐢𝐧𝐝𝐢 𝐚𝐦𝐛𝐚𝐲𝐨 𝐣𝐚𝐦𝐚𝐚 𝐚𝐥𝐢𝐨𝐤𝐨𝐭𝐚 𝐤𝐚𝐭𝐨𝐭𝐨 𝐛𝐚𝐚𝐝𝐚 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐭𝐨𝐤𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐬𝐡𝐮𝐠𝐡𝐮𝐫𝐢 𝐳𝐚 𝐮𝐣𝐚𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢 𝐡𝐚𝐫𝐚𝐟𝐮 𝐚𝐤𝐚𝐚𝐦𝐮𝐚 𝐤𝐮𝐚𝐜𝐡𝐚 𝐤𝐚𝐳𝐢 𝐳𝐚 𝐮𝐣𝐚𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢 𝐛𝐚𝐚𝐝𝐚𝐲𝐞 𝐦𝐚𝐚𝐝𝐮𝐢 𝐰𝐚𝐤𝐚𝐰𝐚 𝐰𝐚𝐤𝐢𝐟𝐚𝐧𝐲𝐚 𝐮𝐣𝐚𝐦𝐛𝐚𝐳𝐢 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐦𝐮𝐚𝐧𝐠𝐮𝐬𝐡𝐢𝐚 𝐤𝐞𝐬𝐢 𝐲𝐞𝐲𝐞, 𝐦𝐨𝐯𝐢𝐞 𝐢𝐧𝐚𝐢𝐭𝐰𝐚 𝐉𝐚𝐧𝐮𝐚𝐥𝐲 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐬𝐢𝐣𝐚𝐤𝐨𝐬𝐞𝐚.
Mwaka 1988?[emoji848][emoji848][emoji849][emoji849][emoji849]Mzee ongezea na hili dude la mwaka 1975...
Kwangu mimi mpaka sasa ndio filamu bora zaidi ya kihindi kwa muda wote...
Amitah,Dharmendra,Amjad khan,Jaya,Hema Malini na Sanjeev Kumar...
Mara ya kwanza kuiona hii filamu ni mwaka 1988 na mpaka sasa sikumbuki nimeitazama mara ngapi,pengine mara mia moja!!
Ila nina uhakika nitaendelea kuitazama tena na tena kwani bado sijaichoka.
SHOLAY...View attachment 2059082
Ndio swahiba zama hizo eneo nililokuwa naishi banda la kuonesha video lilikuwa moja tu hilo nyomi lake sasa!.Mwaka 1988?[emoji848][emoji848][emoji849][emoji849][emoji849]
Naipata hii movie nimeitazama kama mara sita hivi huyu star master wake wawili waliuliwa na jamaa wawili wana mapigo hao yule star alikua kama mcharuko fulani hvSnake in the monkey shadow, ilikuwa boonge la movie....
View attachment 55370 View attachment 55371 View attachment 55373
View attachment 55374 View attachment 55375 View attachment 55376
kuna hao waliovaa bluu walikuwa wanapiga za kinyoka nyoka za ukweli, walishindikana, ikabidi staring ajifunze za ki-monkey-monkey ili aweze kuua nyoka...
Jikumbushe hapa: Snake in the Monkey's Shadow - YouTube
Ndio dada angu naangaliaga vip we hauzipendi zenye love storyWe unaangaliaga movie za kihindi?[emoji849][emoji849][emoji849]
Nilivyo sipendi wahindi jamani hata movie zao naziangaliaje?Ndio dada angu naangaliaga vip we hauzipendi zenye love story
Nilivyo sipendi wahindi jamani hata movie zao naziangaliaje