Rambo, komando kipesi sijui inaitwaje na ya kihindi ya dada anageuka nyoka.enzi hizo tv kwa jiraniiii acha kabisa!!
nayo hiyo ilikuwa moto saana naikumbuka sana jinnsi mbwa anavyowahenyesha watu mule, na mbwa kwenda kwenye kaburi la boss wake akitoa machozi kama ishara ya kumkumbuka!
Lakini jina sijui umeikosea, nimeitafuta google nimeikosa.
Rambo, komando kipesi sijui inaitwaje na ya kihindi ya dada anageuka nyoka.enzi hizo tv kwa jiraniiii acha kabisa!!bila kusahau disco dansa ya mithun chakrabot
nami nilikuwa naipenda sana hiyo commando natamani niione tena sijui hata nwaeza kuipataje
hahaha, full kuvizia tv kwa jirani, kama ni mpangaji ana tv peke yake, wapangaji woote full kujazana kwake!!
komamdo kipesi full kuchinja woote anabaki mmoja anaangalia nyuma walikuwa kumi anajikuta yupo peke yake, anachanganyikiwa anabaki kukimbia ovyo...
jina la movie ya komando kipesi inaitwaje mwenye kuikumbuka?
Hicho hapo kitu cha komando kipesi!
View attachment 55158 View attachment 55159 View attachment 55160
na ukimtupia lufufu humo ndani.... ni full raha....
Hicho hapo kitu cha komando kipesi!
View attachment 55158 View attachment 55159 View attachment 55160
na ukimtupia lufufu humo ndani.... ni full raha....
nayo hiyo ilikuwa moto saana naikumbuka sana jinnsi mbwa anavyowahenyesha watu mule, na mbwa kwenda kwenye kaburi la boss wake akitoa machozi kama ishara ya kumkumbuka!
Lakini jina sijui umeikosea, nimeitafuta google nimeikosa.
Mie the Sound of Music mwenye kujua naweza kuipata wapi aniambie wapendwa
Je, na hii mnaikumbuka? Lilikuwa ni boonge la movie...!!
AMERICAN NINJA- MICHAEL DUDIKOFF
View attachment 55129 View attachment 55130 View attachment 55131