Movie zangu kali za utotoni!

Snake in the monkey shadow, ilikuwa boonge la movie....
sn6.jpg sn8.jpg sn0.jpg
sn1.jpg sn2.jpg sn99.jpg
kuna hao waliovaa bluu walikuwa wanapiga za kinyoka nyoka za ukweli, walishindikana, ikabidi staring ajifunze za ki-monkey-monkey ili aweze kuua nyoka...
Jikumbushe hapa: Snake in the Monkey's Shadow - YouTube
 
tena afadhali, huyu mwanadada alikuwa na movie moja adui kuua kwake anakutoa macho, vp mkuu unaikumbuka jina? Naipenda sana hiyo movie

ile ya jackie chain yupo na kaka yake mjinga-mjinga hivi bonge-bonge , anayekumbuka anikumbushe inaitwaje....
 
Jaman BAKITA NA YANKEE ZULU NANI KAZICHEKI ALAF SIJASIKIA MTU AKITAJ GOD MUST BE CRAZY
 
Snake in the monkey shadow, ilikuwa boonge la movie....
View attachment 55370 View attachment 55371 View attachment 55373
View attachment 55374 View attachment 55375 View attachment 55376
kuna hao waliovaa bluu walikuwa wanapiga za kinyoka nyoka za ukweli, walishindikana, ikabidi staring ajifunze za ki-monkey-monkey ili aweze kuua nyoka...
Jikumbushe hapa: Snake in the Monkey's Shadow - YouTube

teh teh dah baada ya kuchck hiyo video mbavu cna,et pigo la nyoka na la mlev,mkuu niambie mlivokua mkitoka ukumbini vurugu zake teh teh
 
R.I.P Bruce Lee, alikuwa star, soldier, familia yao ilizungukwa na imani za ajabu mno, walikuwa wanakufa at 30, kuna Movie kuhusu historia yake niliiona kipindi fulani, ishu za ushirikina uliisumbua familia yake, hapo kwenye kuact Enter The Dragon, first time aliondoka ghafla wakati wa shooting, mambo yalimchanganyikia alikuwa akiona mauzauza yaliyokuwa yanamsumbua kila mara, mara ya pili mambo yakawapoa, alikufa T weeks kabla the movie kuachiwa
ENTER THE DRAGON - BRUCE LEE
liIlkuwa Boonge moja la movie la mkali bruce, hapo mwishoni full kutafutana kwenye vioo...!!!
View attachment 55288 View attachment 55289 View attachment 55290
 
nyingine hiyo,nani aliicheck. Baada ya hiyo picha mkitoka ukumbini full kupigana kung fu 2 teh teh teh
23421.jpg

LuckySeven+1986-6-b.jpg
yani umenikumbusha mbali sana hasa huyo bonge aliyepiga msamba hapo chini na nguo nyekundu hahhahahha
hasa yule mjomba mtu ka chizi mule ndani mm penda hii mbaya hahha thanx sana mana umenifanya leo nitabasamu
 
Kuna muv moja wanajeshi watatu mmoja mweusi wakiwa wanakimbizwa na maadui yule mweusi wakiwa wanavuka mto anateleza na kutumbukia majini afu anang'atwa na mamba vibaya.
 
Jina sahihi la Movie ulijue wapi enzi zetu za utoto, wakati hata dictation tulikuwa tunakula nyanjo kibao skuli, wengi wetu tulikuwa shule za Kiswahili medium, kizazi cha sasa cha dot com si mchezo, mtoto wa miaka mitano anatumia Computer kwa ufasaha, ngeli, francais anatema kama kawa
 
yani umenikumbusha mbali sana hasa huyo bonge aliyepiga msamba hapo chini na nguo nyekundu hahhahahha
hasa yule mjomba mtu ka chizi mule ndani mm penda hii mbaya hahha thanx sana mana umenifanya leo nitabasamu

ol i wanted was that. Bonge hilo nakumbuka lufufu alikua analiita ،bwany،eny،e lilikua noma,dah muvi nmeona zaman hata ckumbuki ilikuaje but nachokumbuka ilitisha.#Mic d old times
 
Kuna muv moja wanajeshi watatu mmoja mweusi wakiwa wanakimbizwa na maadui yule mweusi wakiwa wanavuka mto anateleza na kutumbukia majini afu anang'atwa na mamba vibaya.
Ebeneza hiyo inaitwa THE HARD WAY
 
Last edited by a moderator:
JACK CHAN na KAKA YAKE JINGA-JINGA... Movie inaitwa PROJECT A
Hii movie ni full vituko na vichekesho, nillipenda saana
PA2.jpg PA1.jpg PA4.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom