Movie zangu kali za utotoni!

Movie zangu kali za utotoni!

sasa nimeipata, hyo ya Jackie shroff steling mbwa ni teri meherbaniyan

Yaonekana wewe ulikuwa mkali sana kushika majina ya film za kihindi...
kitu cha mbwa hichi hapa
teri2.jpg teri1.jpg terrr.jpg

picha ya mwisho huyo mzee alijaribu kumkimbia mbwa bila mafanikio, mbwa anamkamata na kumpa mambo..!!
 
Mission imposible, hard boiled, double impact, disco dancer, snake under monkey shadow, tai chi, drunken tai chi.,.kha! Mekumbuka mbali sana.

Asikwambie mtu kitu cha disco dancer, ayamma disco dansa...

embu bofya hapo juu ujikumbushe enzi zile za utotoni...
 
Last edited by a moderator:
kuna movie nyingine hiv makomando walienda uaharabun afu mwishon jamaa m1 anachomwa kisu cha mguun alipokua kakanyaga bom,dah hiyo muv nakumbuka ilikua noma. Kuna m2 anaikumbuka jina limentoka kabsa

inaitwa delta force, chuck norris ndan ya nyumba!
 
Zifuatazo ni baadhi ya movie zangu kali nilizokuwa nazipenda sana wakati wa utotoni!

Commando - Arnold Schwarzenegger
View attachment 55103 View attachment 55104 View attachment 55105

Double impact - Van Damme
View attachment 55107 View attachment 55108 View attachment 55109

Drunken master - Jackie Chain
View attachment 55110 View attachment 55112 View attachment 55113 View attachment 55114

Hadi leo huwa haziniisha hamu kuziangalia, na huwa zinanikumbusha mbali sana!!!
Tupia hapo chini movie gani ilikuwa kali kwako wakati wa utotoni wako/ ujana wako, kwa wengine ni kama vile enzi zileee za video show wakati tv hazijakuwa zimetapakaa hivi!! Ukiweka na picha itakuwa poa zaidi(japo sio sheria)...

striker, air force one ya harrison ford, the mask ya Jim Carrey, on the line of duty ya Don Yen, Rambo 1,2&3, Street fighter, Hard target za Van Damme bila kusahau hard way , pia scorpion ya dolf lundergreen!
Nitarudi kuleta nyingne zaidi! Enz hzo vdeo moja mtaani, mchana kula then kulala usiku video!
 
Movie ilikuwa inaniliza hii..nakumbukia na mimi ''ya ya''..Govinda was good!

The sound of music, ilinikonga..kuimba na kucheza..Maria

Police academy zote, hoi kwa vituko...nilimpenda Mahoney

Home alone..hata leo naweza iangalia

Matilda

hapo Home Alone na Matilda ndo ucpime, Matilda cjui nitaipata wapi, mana nikiwanunulia wanangu wataiangalia mpaka igome
 
kuna m2 anakumbuka kasheshe la huyu dogo,teh teh esp pale jamaa kamficha dogo asionwe na police kwenye mapaja dogo akaanza kufanya mambo haha mwisho jamaa likawashwa moto kuuzima sasa.duh hii ki2 ni classic
00520013_.jpg

hahahahaha, baby's day out, me nailudiaga hata mara 5, ila movie nyingi za kitoto ni nzuri na zinachekesha.
 
Yaonekana wewe ulikuwa mkali sana kushika majina ya film za kihindi...
kitu cha mbwa hichi hapa
View attachment 55210 View attachment 55211 View attachment 55213

picha ya mwisho huyo mzee alijaribu kumkimbia mbwa bila mafanikio, mbwa anamkamata na kumpa mambo..!!

yani we acha 2, mama ndo alikuwa anazipendaga sana movie za kihindi, na enzi hizo drive inn 2likuwa tunaenda kama kuna movie ya kihindi, mpaka leo me ni mpenzi sana wa hzi movie.
Na hapo mwisho nyoka alikuja kumsaidia, na akafa kwenye kaburi la bosi wa mbwa, tamu sana hii movie, waweza kulia ukiiangalia.
 
ukizikataa hizi wee hujui movies
1.WARBUS
2.DELTA FORCE- CHUCK NORIS
3.NO RETREAT NO SURRENDER
4.ENTER THE DRAGON
5.STREET FIGHTER
6.VIETNAM WAR MOVIES--- hizi zipo nyingi
kuna moja jina nimelisahau rambo na wesley snipes...humu rambo staring( mwanzoni anagandishwa ktk barafu) then adui snipes na anamtoa mtu jicho kwa peni/sindano
--------------plus
set it off
soul food
renegade- rhino rainz & babi
V-
 
Jamani wakuu me kuna hii Movie ilikuwa inanikoshaga sana enzi hizo.
Inaitwa JUMANJI.
Mastering ni ndugu 4cjui 3 wale,mwisho mdogo wao wa kiume anaota mkia,then game likiisha Wanyama woote na watu wanaingia ktk kitobo kilichopo ktk game.
Jamani mwenye hyo Movie anielekeze,
ntaipata wapi?
 
mkuu umenibamba!....

on top kulikuwa na movie kibao za indiana jones ikiwemo ile ya king solomon's mines ilifanywa zimbabwe....!

movie zote za buddy spencer na terence hills.....!

yaaaah!.....chuck norris pia

The Good The Bad and The Ugly, Hang Them High, They call me trinity, diamonds are forever, enter the dragon, the A team, sound of music, no retreat no surrender and the list goes on!
 
Jamani wakuu me kuna hii Movie ilikuwa inanikoshaga sana enzi hizo.
Inaitwa JUMANJI.
Mastering ni ndugu 4cjui 3 wale,mwisho mdogo wao wa kiume anaota mkia,then game likiisha Wanyama woote na watu wanaingia ktk kitobo kilichopo ktk game.
Jamani mwenye hyo Movie anielekeze,
ntaipata wapi?

mbona zipo nyingi 2 mtaani, au nenda k/koo kwenye maduka ya dvd, ukienda nipm nikuagize ya kihindi inaitwa VIVAH
 
Movie ilikuwa inaniliza hii..nakumbukia na mimi ''ya ya''..Govinda was good!

The sound of music, ilinikonga..kuimba na kucheza..Maria

Police academy zote, hoi kwa vituko...nilimpenda Mahoney

Home alone..hata leo naweza iangalia

Matilda

kitu cha Matilda hicho hapo
mat1.jpg mat77.jpg mat3.jpg
 
yani we acha 2, mama ndo alikuwa anazipendaga sana movie za kihindi, na enzi hizo drive inn 2likuwa tunaenda kama kuna movie ya kihindi, mpaka leo me ni mpenzi sana wa hzi movie.
Na hapo mwisho nyoka alikuja kumsaidia, na akafa kwenye kaburi la bosi wa mbwa, tamu sana hii movie, waweza kulia ukiiangalia.
kitu cha jumanji hichi hapo
jm0.jpg jmk.jpg jm00.jpg
 
Mimi movie yangu kali ya utotoni ilikuwa ya mzee Yombayomba bana!.
 
ukizikataa hizi wee hujui movies
1.WARBUS
2.DELTA FORCE- CHUCK NORIS
3.NO RETREAT NO SURRENDER
4.ENTER THE DRAGON
5.STREET FIGHTER
6.VIETNAM WAR MOVIES--- hizi zipo nyingi
kuna moja jina nimelisahau rambo na wesley snipes...humu rambo staring( mwanzoni anagandishwa ktk barafu) then adui snipes na anamtoa mtu jicho kwa peni/sindano
--------------plus
set it off
soul food
renegade- rhino rainz & babi
V-

kuna mmoja mpaka leo siijui jina tulikuwa tunaiita Komando kipensi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom