Movie zangu kali za utotoni!

Movie zangu kali za utotoni!

Mimi kuna Movie inaitwa Easter Condors kuna Mr.Chain,Suma Hong nk yaani nilikuwa siichoki hasa ila sehemu anadunda-dunda kwenye vyuma halafu Mr.Chain anabetua nazi anampiga jamaa kifuani..Flashback la nguvu.
Aliyebetua nazi ni mzee mzima Yuen Biao
 
Predator-Arnold Schwarzenegger.

Ninja Hunter-Alexander Lou.

Huyu JAMAA bado yupo hai kweli (Alexander Lou )... Alikuwa moto wa kuotea mbali-kina Jet Lee na Jack Chan bado wananyonya Maziwa kwa Mama zao.

Alexander Lou---
*incredible kung-fu mission.
*Shaolin vs Lama
*Mafia vs Ninja.
*Ninja squared.
unasemaje?
unajua Drunken master na Snake in the Eagle's Shadow ni za mwaka gani ?
 
Hivi matilda ilikua ya miaka gani?
Matilda nayo ya longi, mie nahisi nineiona kwenye 90 na kitu au 2000 mwanzoni mwanzoni.

Teacher nuksi yule akakutana na sungura mjanja matilda
 
Mie movie karibia zoote za jackie chain hasa kipanya msosi na jackie mmasai,
Yuen biao,
No retreat no surrender zoote(kisima cha mamba)
The hardway(mniga analiwa na mama)
Kuna moja ya frank zagarino(ina kabiti tulitunga utotoni"maveti maveti mtanikoma" hatari hiyo"
Delta force 2 nadhani(adui carlos, anampiga panga la tumbo demu halafu anamla na mate[emoji23]) movie itafsiriwe na marehemu legend lufufu(kuna sehemu chuck norris aliwekwa kwenye chumba cha gesi, lufufu akasema kawekwa kwenye kanyampasira [emoji23]
Van damme(cyborg sikuizimia mwanzoni,baadae nikaipenda.. ila kuna dame na alex(double impact), dame kickboxer, dame na dofu(adolph ludrgen) movie za dame huchelewi kujichukulia sheria mkoni(nyeto)
The bodyguard(jet lee)
Tiger cage donnie yen.
Anodi ya jeni[emoji23]

Enzi hizo movie inajina la kiswahili, anodi ya jini, komando kipensi, ze hadwei mniga analiwa na mamba(huku lufufu akinogesha show(r.i.p legend)

Kulikuwa na kaseries fulani jamaa alikuwa anaitwa lino lenzi(herufi sizijui,) mwenye data anikumbushe.

Nyingine majamaa wajela jela wametolewa kwenda vitani, kuna sehemu walitekwa, wakawa wanauwawa kwa kuvalishwa gunia ndani kuna nyoka, mniga akamtafuna nyoka mwenyewe.[emoji23]
 
1640479744966.jpeg

Who Am I?
Release date: January 17, 1998 (Hong Kong)
Directors: Jackie Chan, Benny Chan
Music by: Nathan Wang
Box office: HK $38,852,845
Produced by:
Leonard Ho; Barbie Tung

1640479756274.jpeg
 
Mie movie karibia zoote za jackie chain hasa kipanya msosi na jackie mmasai,
Yuen biao,
No retreat no surrender zoote(kisima cha mamba)
The hardway(mniga analiwa na mama)
Kuna moja ya frank zagarino(ina kabiti tulitunga utotoni"maveti maveti mtanikoma" hatari hiyo"
Delta force 2 nadhani(adui carlos, anampiga panga la tumbo demu halafu anamla na mate[emoji23]) movie itafsiriwe na marehemu legend lufufu(kuna sehemu chuck norris aliwekwa kwenye chumba cha gesi, lufufu akasema kawekwa kwenye kanyampasira [emoji23]
Van damme(cyborg sikuizimia mwanzoni,baadae nikaipenda.. ila kuna dame na alex(double impact), dame kickboxer, dame na dofu(adolph ludrgen) movie za dame huchelewi kujichukulia sheria mkoni(nyeto)
The bodyguard(jet lee)
Tiger cage donnie yen.
Anodi ya jeni[emoji23]

Enzi hizo movie inajina la kiswahili, anodi ya jini, komando kipensi, ze hadwei mniga analiwa na mamba(huku lufufu akinogesha show(r.i.p legend)

Kulikuwa na kaseries fulani jamaa alikuwa anaitwa lino lenzi(herufi sizijui,) mwenye data anikumbushe.

Nyingine majamaa wajela jela wametolewa kwenda vitani, kuna sehemu walitekwa, wakawa wanauwawa kwa kuvalishwa gunia ndani kuna nyoka, mniga akamtafuna nyoka mwenyewe.[emoji23]
Hyo movie inaitwa soldier boy,star n jmaa anaitwa maiko,adui ni tagawa
 
ukizikataa hizi wee hujui movies
1.WARBUS
2.DELTA FORCE- CHUCK NORIS
3.NO RETREAT NO SURRENDER
4.ENTER THE DRAGON
5.STREET FIGHTER
6.VIETNAM WAR MOVIES--- hizi zipo nyingi
kuna moja jina nimelisahau rambo na wesley snipes...humu rambo staring( mwanzoni anagandishwa ktk barafu) then adui snipes na anamtoa mtu jicho kwa peni/sindano
--------------plus
set it off
soul food
renegade- rhino rainz & babi
V-
Demolition man
 
Mie movie karibia zoote za jackie chain hasa kipanya msosi na jackie mmasai,
Yuen biao,
No retreat no surrender zoote(kisima cha mamba)
The hardway(mniga analiwa na mama)
Kuna moja ya frank zagarino(ina kabiti tulitunga utotoni"maveti maveti mtanikoma" hatari hiyo"
Delta force 2 nadhani(adui carlos, anampiga panga la tumbo demu halafu anamla na mate[emoji23]) movie itafsiriwe na marehemu legend lufufu(kuna sehemu chuck norris aliwekwa kwenye chumba cha gesi, lufufu akasema kawekwa kwenye kanyampasira [emoji23]
Van damme(cyborg sikuizimia mwanzoni,baadae nikaipenda.. ila kuna dame na alex(double impact), dame kickboxer, dame na dofu(adolph ludrgen) movie za dame huchelewi kujichukulia sheria mkoni(nyeto)
The bodyguard(jet lee)
Tiger cage donnie yen.
Anodi ya jeni[emoji23]

Enzi hizo movie inajina la kiswahili, anodi ya jini, komando kipensi, ze hadwei mniga analiwa na mamba(huku lufufu akinogesha show(r.i.p legend)

Kulikuwa na kaseries fulani jamaa alikuwa anaitwa lino lenzi(herufi sizijui,) mwenye data anikumbushe.

Nyingine majamaa wajela jela wametolewa kwenda vitani, kuna sehemu walitekwa, wakawa wanauwawa kwa kuvalishwa gunia ndani kuna nyoka, mniga akamtafuna nyoka mwenyewe.[emoji23]
Hiyo uliyouliza paragraph ya mwisho...inaitwa soldiers Boyz star Michael Dudikoff
 
Mkuu hapo kwenye Red sio Lorenzo Lamas na Dude lake la RENEGADE ?
Renegade_TV_Series-314874670-mmed.jpg
 
Moviez Zangu Za Utotoni.
1.Rambo anaruka mlimani halafu anajishona
2.Anorld ya Jini
3.Warbus
4.Chuck Norris anapita juu ya nyaya za umeme

NB.Tulikua hatujui majina ya Movies tuliadithiana kulingana na matukio
Hii ya kwanza inaitwaje jina best?
 
Utotoni tulikuwa na majina yetu maalum.

Huyu mzee hana kazi mbovu, movie zake nyingi unaweza kutizama hata na mama mkwe.
Afu mdau huko juu kadai eti Alexander Lou yule mzee wa kula tunda kimasihara kwenye muvi zake ni wa kitambo kuliko Chan
 
Hiyo uliyouliza paragraph ya mwisho...inaitwa soldiers Boyz star Michael Dudikoff
Yes, umeshitua akili mzee mwenzangu, ni soldier boys by maiko dudukof..

Sogeza mbele boxing day.. nitakuja na mbox wako uufungue keshokutwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom