Movie zangu kali za utotoni!

Movie zangu kali za utotoni!

๐ค๐ฎ๐ง๐š ๐ฆ๐จ๐ฏ๐ข๐ž ๐ฒ๐š ๐ค๐ข๐ก๐ข๐ง๐๐ข ๐š๐ฆ๐›๐š๐ฒ๐จ ๐ฃ๐š๐ฆ๐š๐š ๐š๐ฅ๐ข๐จ๐ค๐จ๐ญ๐š ๐ค๐š๐ญ๐จ๐ญ๐จ ๐›๐š๐š๐๐š ๐ฒ๐š ๐ค๐ฎ๐ญ๐จ๐ค๐š ๐ค๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐ฌ๐ก๐ฎ๐ ๐ก๐ฎ๐ซ๐ข ๐ณ๐š ๐ฎ๐ฃ๐š๐ฆ๐›๐š๐ณ๐ข ๐ก๐š๐ซ๐š๐Ÿ๐ฎ ๐š๐ค๐š๐š๐ฆ๐ฎ๐š ๐ค๐ฎ๐š๐œ๐ก๐š ๐ค๐š๐ณ๐ข ๐ณ๐š ๐ฎ๐ฃ๐š๐ฆ๐›๐š๐ณ๐ข ๐›๐š๐š๐๐š๐ฒ๐ž ๐ฆ๐š๐š๐๐ฎ๐ข ๐ฐ๐š๐ค๐š๐ฐ๐š ๐ฐ๐š๐ค๐ข๐Ÿ๐š๐ง๐ฒ๐š ๐ฎ๐ฃ๐š๐ฆ๐›๐š๐ณ๐ข ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ฆ๐ฎ๐š๐ง๐ ๐ฎ๐ฌ๐ก๐ข๐š ๐ค๐ž๐ฌ๐ข ๐ฒ๐ž๐ฒ๐ž, ๐ฆ๐จ๐ฏ๐ข๐ž ๐ข๐ง๐š๐ข๐ญ๐ฐ๐š ๐‰๐š๐ง๐ฎ๐š๐ฅ๐ฒ ๐ค๐š๐ฆ๐š ๐ฌ๐ข๐ฃ๐š๐ค๐จ๐ฌ๐ž๐š.
 
Bila shaka ni hii hii, kuona mpikipiki tu, nimekumbuka, enzi hizo itv wanaonesha wikiendi hadi wikiendi... Sisi tulikuwa tunamuita lino renz.[emoji23]

Series wenzetu kitaambo saana.
Ndio hiyo hiyo ilionyeshwa sana na ITV.......
pia ilikuwepo nyingine ya Chuck Norris
Capture.JPG
texas.jpg
nor.JPG
 
5. The killer

Jeffrey, mwimbaji maarufu, anakabiliwa na usaliti wa mwisho kutoka kwa mwajiri wake anapoamua kustaafu baada ya kazi moja ya mwisho. Kisha anaungana na Inspekta Lee kukabiliana na majambazi wanaotaka kumuua. Hii movie ilikua hatari sana...
Staa wa hilo sinema ni Chow yun-fat.

4. Bad guys

Alexander Lou alitumwa kumuua boss flani hivi huko alipewa sapoti na manzi flani jamaa ulifanikiwa kumuua yule boss kanisani sasa baada ya kuua akaingia kwenye janga maana vijana wa boss walikua n kisanga kuna mkono humo usipime. Hhahaah kuna kipara bila kumsahau kishingo aisee noma sana...

3. The new big boss( Legend of the wolf)

Hapa unakutana na kichapo cha kufa mtu toka kwa Donnie yen akiwa na jamaa mmoja anaitwa Dayo Wong ahhahahahha noma mzee. Don alishuhudia mke wake akikatwa kichwa aisee mkono ulifuatia siwezi kusimulia....

2. The bodyguard from Beijing

Sina na kuelezea sana kuhusu jet Lee but naamini hii ndo ilikua film bora toka kwa huyu mtaalamu.

1. Operation Scorpio
Hii film niliipenda sana kiasi mwamba shuleni wakanipa jina la Scorpio hahhahaha.
Yuk su alimuokoa demu asiliwe papuchi na Scorpius gang kumbe hakujua hili kundi ndo kusema kwenye ile area. Ohoo akaingia kwenye matatizo mazito...

Lakini all in all The best film utotoni kwangu ilikua ni...

"Bullet in the head"....

Noma sana!!!

View attachment 2058803
 
Hii naikumbuka, kuna nyingine pia ilikuwa inaoneshwa itv
Capture.JPG

Ila mkuu sisi wengine niwahenga wa tangu Enzi za majumba ya cinema na show za ukutani kwenye kumbi za bar za uswaz, vibanda umiza vilikuwa hakuna enzi ya utoto wetu.
Video zimetukuta ukubwani je naruhsiwa kuchangia hats za utotoni?
 
View attachment 2058903
Ila mkuu sisi wengine niwahenga wa tangu Enzi za majumba ya cinema na show za ukutani kwenye kumbi za bar za uswaz, vibanda umiza vilikuwa hakuna enzi ya utoto wetu.
Video zimetukuta ukubwani je naruhsiwa kuchangia hats za utotoni?
Unaweka tu, ndio lengo la uzi...

Nimeikumbuka the crow kama sikosei ya brandon lee, nahisi hii ndio walimpiga risasi kwa bahati mbaya akamfata mzee wake, ilikiwa series tamu.
 
Zifuatazo ni baadhi ya movie zangu kali nilizokuwa nazipenda sana wakati wa utotoni!

Commando - Arnold Schwarzenegger
View attachment 55103 View attachment 55104 View attachment 55105

Double impact - Van Damme
View attachment 55107 View attachment 55108 View attachment 55109

Drunken master - Jackie Chain
View attachment 55110 View attachment 55112 View attachment 55113 View attachment 55114

Hadi leo huwa haziniisha hamu kuziangalia, na huwa zinanikumbusha mbali sana!!!
Tupia hapo chini movie gani ilikuwa kali kwako wakati wa utotoni wako/ ujana wako, kwa wengine ni kama vile enzi zileee za video show wakati tv hazijakuwa zimetapakaa hivi!! Ukiweka na picha itakuwa poa zaidi(japo sio sheria)...
Hii movie ya Commando ya Arnold Schwarzenegger, mpaka kesho bado naikubali....

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
kuna movie nyingine hiv makomando walienda uaharabun afu mwishon jamaa m1 anachomwa kisu cha mguun alipokua kakanyaga bom,dah hiyo muv nakumbuka ilikua noma. Kuna m2 anaikumbuka jina limentoka kabsa
Kama sijasahau iliitwa Delta Force 3...

Bonge la Movie..

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
kuna m2 anakumbuka kasheshe la huyu dogo,teh teh esp pale jamaa kamficha dogo asionwe na police kwenye mapaja dogo akaanza kufanya mambo haha mwisho jamaa likawashwa moto kuuzima sasa.duh hii ki2 ni classic
00520013_.jpg
Duh aliwasha moto [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna nyingine jina limenitoka, cjui inaitwa nini green, ila hata star times walikuwa wanaรถnyeshaga, yule m2 alikuwa anaitwa mario man, alipata nguvu za ajabu, kuna kitu cha kijani kilimuingia mwilini, akawa anapaa na kuwa na nguvu za ajabu, ni black america, mwenye kujua jina lake pls,
Hulk
 
Mzee yupo Hai.
Nilimkubali kwenye Muvi za
1.ANDHA KANOON
View attachment 2059032
2.MARD TANGEWALA
View attachment 2059035
3.TOOFAN
View attachment 2059042
4.GANGAA JAMUNAA
View attachment 2059061
Mzee ongezea na hili dude la mwaka 1975...
Kwangu mimi mpaka sasa ndio filamu bora zaidi ya kihindi kwa muda wote...
Amitah,Dharmendra,Amjad khan,Jaya,Hema Malini na Sanjeev Kumar...
Mara ya kwanza kuiona hii filamu ni mwaka 1988 na mpaka sasa sikumbuki nimeitazama mara ngapi,pengine mara mia moja!!
Ila nina uhakika nitaendelea kuitazama tena na tena kwani bado sijaichoka.
SHOLAY...
amitabh-bachchan-film-actor-in-sholay_1fd1c202-dd5d-11ea-b1b0-f6d177b03796.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom