Movie zangu kali za utotoni!

Kuna ile ya Govinda inaitwaje vilee? Kuna katoto kanaita 'yaya' , embu anayejua anikubumbushe!
b69ebf3f8718fe848f46f34b074d4724.jpg
Inaitwa Hatya
 
hahaha, full kuvizia tv kwa jirani, kama ni mpangaji ana tv peke yake, wapangaji woote full kujazana kwake!!
komamdo kipesi full kuchinja woote anabaki mmoja anaangalia nyuma walikuwa kumi anajikuta yupo peke yake, anachanganyikiwa anabaki kukimbia ovyo...
jina la movie ya komando kipesi inaitwaje mwenye kuikumbuka?
deadly prey
 
Kuna movie nimesahau jina lake,ila kuna watoto walichezea mtambo wa umeme wa baba yao,ukawageuza wakawa wadogo kama sisimizi,basi tone la maji kwao ni mvua,ng'e wanamuona kama tembo,sharubu za paka wananing'inia,nyuki ndio ndege yao,nyasi za ardhini wanaona bonge la msitu,mwenye kujua jina la hii movie naomba aniambie,yaani mpaka leo imepita miaka kama 10 ila nahamu yakuiona tena!!!
Honey, I Shrunk the Kids
 
Predator-Arnold Schwarzenegger.

Ninja Hunter-Alexander Lou.

Huyu JAMAA bado yupo hai kweli (Alexander Lou )... Alikuwa moto wa kuotea mbali-kina Jet Lee na Jack Chan bado wananyonya Maziwa kwa Mama zao.

Alexander Lou---
*incredible kung-fu mission.
*Shaolin vs Lama
*Mafia vs Ninja.
*Ninja squared.
 
Kuna movie mmoja hivi, kati ya wamarekani na kikundi kimoja hivi kipo kwenye kisiwa huko Philippines, mwenyekiti wa hicho kijiji anaitwa mzeee ATHUMAN, KUNA WAFANYA KAZI WA MAREKAN WANAKAMATWA WANAPELEKWA HUKO KUCHINJWA, KUNA MZEEE KAVAA KAMA MWARABU. DA, KAMA UNAPATA IDEA YA HIII MOVIE NIPE JINA LAKE NIIITAFUT AISEEEE
 
kuna ile bonge anaenda jeshini FULL METAL JACKET kama sijakosea jina af kuna ile delta force 1 & 2 mzee chuck noriss kuna assult
 
above the law ya yuen biao na thyncia
in the line of duty donny yen
tiger cage dony yen...
cyborg ya damme..
hizi movie...zilinibamba sana..
 
1.King of kick boxer
2.double impacts
3.Eastern condors
4.karate kids
5.solo
6.lucky seven
7.we were soldiers

Enzi izo lufufu utasikia ...picha yetu imeletwa kwenye na captain gasper lufuuuuuùufuu lukomaambaijaaaaaaa
Mkuu hiyo lucky seven inapatikana bado...? Maana nimeitafuta sana bila mafanikiwa. Si ndo ile ya vitoto viko saba.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Mkuu hiyo lucky seven inapatikana bado...? Maana nimeitafuta sana bila mafanikiwa. Si ndo ile ya vitoto viko saba.
Ndio mkuu inapatikana ukimkaribisha mtu kama chief mkwawa hope link utaipata vizuri mi ninayo sema quality mbovu ipo kwenye CD
Na ndo iyo ya vitoto 7
 
Predator-Arnold Schwarzenegger.

Ninja Hunter-Alexander Lou.

Huyu JAMAA bado yupo hai kweli (Alexander Lou )... Alikuwa moto wa kuotea mbali-kina Jet Lee na Jack Chan bado wananyonya Maziwa kwa Mama zao.

Alexander Lou---
*incredible kung-fu mission.
*Shaolin vs Lama
*Mafia vs Ninja.
*Ninja squared.
huyo jamaa nampata,alikua anapiga mkono hatari
 
Drunken master,, snake in the monkey shadow,, loha,, andhar kanoon,,, way of the dragon,, enter the dragon,, the big boss,, disco dancer,,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom