spinderella
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 1,393
- 1,905
Sana tukumbe mkongwe kidogo. heshima yako
. But it is a beautiful movie.Sana tukumbe mkongwe kidogo. heshima yako
. But it is a beautiful movie.Acha niitafuteKam kichwa kinavodai tupia movie ambalo huez kuchoka kuiangalia kwa jinsi akili nying zilivotumika ndani ake...(INTELLIGENCE)
Nb; movie yangu ni VANTAGE POINT... hii inahusu njama za kumuua rais wa marekani yeny kuungunisha matukio tofaut ni kuishia katika sehemu moja..
Manchurian Candidate
Hii series ilishia wapi mkuu....Traveller series.
They ran out of budget wakashindwa kuendelea!
Install showbox app kuna movie na series nyingi sana au kama vipi ingia todaytvseries.com wana series hd lakini with a small size mpk mb 100"Homeland"
Stering wanaenda baadae anageuka kua adui na adui mkuu anajua Stering.
Yaani ni full mautamu.
Hii series ni nzuri sana.
Nilibahatika kuiangalia season 1 na 2 peke ake.
Naitamani sn mpk leo na sijui nitaipataje tena.
Anayeweza kunipatia link nikaipakue free ntafurahi sana.
Izo ndo movie nzuri unapasua kichwa kuelewa inataka nini? Kwa bongo movie nmeiona moja tuu inaitwa mama kijacho ya sajuki, sipendi bongo movie but nilinogewa nayo coz nilishtuka imefika mwisho ndo naelewa inataka ninimleta uzi umeongelea VINTAGE POINT, hii ni bonge moja ya movie ina pasua kichwa mpk uilewe hadi zibaki kama dakika 5 movie kuisha

Booonge moja la series hilo,liishia SEASON 4,ni hatar sana kwa WATOTO,BANSHEE
Olympus ndo kali zaidi.Olympus has fallen, London has fallen
Kama upo Dar nitafute.....season 5 zote ninazo"Homeland"
Stering wanaenda baadae anageuka kua adui na adui mkuu anajua Stering.
Yaani ni full mautamu.
Hii series ni nzuri sana.
Nilibahatika kuiangalia season 1 na 2 peke ake.
Naitamani sn mpk leo na sijui nitaipataje tena.
Anayeweza kunipatia link nikaipakue free ntafurahi sana.
Baba hii prison break usipime waga siichoki kabisa hasa huyo Mdogo Wake link anatumia akili nyingi balaaAisee mimi hizi kwa nilizotazama ndo the Best..
>>Prison Break
>>3 days
>>24 hrs legacy
Aisee1. Mzee wa loliondo
2. DR. Shika
3. Magu
4. Bashteee