Movie za intelligensia

Movie za intelligensia

Enemy 2013 [hii ni shida kama kuna mtu ameiona na kuielewa vizuri anishirikishe]
The Prestige 2007
Shutter Island 2009
Arrival 2016
Gone Girl 2014
The Game 1995
The Usual Suspects 1995
Interstellar 2014
Fight Club 1999
Inception 2009
Etc.
Pamoj mkuu
 
Itabidi niitafute hii kiongozi...
Iko powa sana,humo ni kazi kazi hakuna mambo ya ushoga,
Ila hizi mambo za intelijensia zina xposure sana,
Mambo yamebadilika sana usiyemdhania ndo unakuta ni "undercover"
 
Hii sikuwah kuipenda zaid main character
Zinahitaji utulivu qa akili. Niliiona ilivyotoka sikuilewa. Siku nikiwa Chuo jamaa wanaosoma philosophy of mind walipewa kama assignment pamoja na ile vanila sky ya tom cruise hapo ndogo nikadevelop interest nikaitizama tena kwa kutuliza kichwa.
 
"Homeland"
Stering wanaenda baadae anageuka kua adui na adui mkuu anajua Stering.
Yaani ni full mautamu.

Hii series ni nzuri sana.
Nilibahatika kuiangalia season 1 na 2 peke ake.

Naitamani sn mpk leo na sijui nitaipataje tena.

Anayeweza kunipatia link nikaipakue free ntafurahi sana.
Ni series kali nimeangalia hadi season ya 6 imetoka mwaka huu.
 
"Homeland"
Stering wanaenda baadae anageuka kua adui na adui mkuu anajua Stering.
Yaani ni full mautamu.

Hii series ni nzuri sana.
Nilibahatika kuiangalia season 1 na 2 peke ake.

Naitamani sn mpk leo na sijui nitaipataje tena.

Anayeweza kunipatia link nikaipakue free ntafurahi sana.
Check torrent zipo nyingi tu mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom