Movie za intelligensia

fenisher

JF-Expert Member
Apr 27, 2017
340
707
Kam kichwa kinavodai tupia movie ambalo huez kuchoka kuiangalia kwa jinsi akili nying zilivotumika ndani ake...(INTELLIGENCE)

Nb; movie yangu ni VANTAGE POINT... hii inahusu njama za kumuua rais wa marekani yeny kuungunisha matukio tofaut ni kuishia katika sehemu moja..
 
"Homeland"
Stering wanaenda baadae anageuka kua adui na adui mkuu anajua Stering.
Yaani ni full mautamu.

Hii series ni nzuri sana.
Nilibahatika kuiangalia season 1 na 2 peke ake.

Naitamani sn mpk leo na sijui nitaipataje tena.

Anayeweza kunipatia link nikaipakue free ntafurahi sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom