Onyix
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 682
- 793
Mbona nasikia serikali ya marekani.. Ili stopisha.. Maana kulikua na ukweli mwingi kuhusu serikaliTraveller series.
They ran out of budget wakashindwa kuendelea!
Mbona nasikia serikali ya marekani.. Ili stopisha.. Maana kulikua na ukweli mwingi kuhusu serikaliTraveller series.
They ran out of budget wakashindwa kuendelea!
Hahahah hizo nazo ni movie mkuu....ila kweli. Huku RC hataki fiesta kule presidaaa anataka ikeshe hahahah1. Mzee wa loliondo
2. DR. Shika
3. Magu
4. Bashteee
Kitabu cha John Grisham, title hiyo kama movieThe pelican brief- Denzel Washington![]()
Kitabu ni kitamu kushinda movieKitabu cha John Grisham, title hiyo kama movie
Hapana mkuu. Mimi nimeangalia S01 mpaka S08 episodes zote. Carrie Matison ndiyo Sterling mwanzo mwisho."Homeland"
Stering wanaenda baadae anageuka kua adui na adui mkuu anajua Stering.
Yaani ni full mautamu.
Hii series ni nzuri sana.
Nilibahatika kuiangalia season 1 na 2 peke ake.
Naitamani sn mpk leo na sijui nitaipataje tena.
Anayeweza kunipatia link nikaipakue free ntafurahi sana.