Movie za intelligensia

Movie za intelligensia

"Homeland"
Stering wanaenda baadae anageuka kua adui na adui mkuu anajua Stering.
Yaani ni full mautamu.

Hii series ni nzuri sana.
Nilibahatika kuiangalia season 1 na 2 peke ake.

Naitamani sn mpk leo na sijui nitaipataje tena.

Anayeweza kunipatia link nikaipakue free ntafurahi sana.
Movie sio series
 
Tafuta "Breaking Bad"-Crime na Intelligence humo humo..ilisitishwa season ya tano kwa sabb za kiusalama na maudhui yake yalionekana kuchochea crime hasa za madawa ya kulevya..
Movie sio series
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom