Movie na series unazozipenda

Movie na series unazozipenda

Strike back iliniboa season 2 eti mhusika mkuu anakufa

Jamaa ilibidi afe because alikua na dili kubwa ya kua star kwenye movie (the hobbit: an unexpected journey) walioanza kushoot mwaka 2011 ndo maana wakaja wale jamaa wengine Scott & Michael. Mi niliipenda sana na mwaka huu itatoka season 5 which will be the last season.
 
My name is Michael Western,I used to be a spy.........bonge la series nalo.

Ha ha ha ha ha...hapa Fiona,pembeni uncle Sam,bi mkubwa..wale jamaa walijipanga...i wonder why ppo hawaijui..
 
naomba mnijulishe je ni series gani inaweza kua nzuri kwa kuangalia kila epsod inaipoisha kama ilivyo prison break na 24 .. iswe ya iwongouwongo (imagimation) . wala iawe kama vampire diary au true blood . iwe yenye ureality . na storry ya maana .

Homeland,covert affairs maybe...
 
Back
Top Bottom