Movement for change and new hope (MCNH) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Movement for change and new hope (MCNH)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Freetown, Nov 6, 2008.

 1. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #1
  Nov 6, 2008
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kianzishwe chama na kiitwe movement for change and new hope, na motto iwe yes we can. naomba mchango wenu, hilo ni wazo langu jina lina weza rekebishwa, nina imani kikivuma kitatikisa, watu wamechoka hawajaona mlango wa kutokea
   
 2. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #2
  Nov 6, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  That's plagiarism. It ain't hard to come up with something original and uniquely suited to the need.

  Moreover, details are lacking, how is this going to be different from the sloganeerism of "No Child Left Behind" and "Ari Mpya, Nguvu Mpya" ?

  I am elated at Obama's triumphant victory and all, but to be effective you must look beyond the results and probe into strategies and substantive policies, that is if even a meaningful comparison can be extracted and exploited.

  You do not win gold at the Olympic swimming events by naming yourself Michael Phelps.You can try to emulate the painful exercises and strategies used though.
   
 3. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #3
  Nov 6, 2008
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Hicho chama kinachoiga kila kitu kimeshakufa kabla hakijaanza!!
   
 4. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #4
  Nov 6, 2008
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Chama kingine cha nini? kutuongezea mzigo wa kukipelekea ruzuku? Tujiunge na hivi vilivyopo, tuvipe mawazo na mwamko mpya, tujitolee kueneza elimu ya utaifa kwa ndugu na jamaa ambao bado wapo katika ndoto za 'bila CCM amani hakuna bongo', Tuwatie shime wale watu wazuri ndani ya chama cha mafisadi wasione soo kujitengamanisha nao na kuunga mkono jitihada za kulikomboa taifa letu mikononi mwa mafisadi. Tukishirikiana kwa pamoja, hakika tutashinda badala ya kuwaza kuanzisha chama kingine!
   
 5. M

  Masatu JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mie natangaza nia ya kugombea nafasi ya uenyekiti cum mweka hazina wa chama mapema
   
 6. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #6
  Nov 14, 2008
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  America influences people in somewhat strange ways at times.. Some1 needs a long holiday bongo aweze ku aclimatize kidogo..
   
Loading...