Moto wawaka jengo la PPF Tower - Dar

Moto wawaka jengo la PPF Tower - Dar

Status
Not open for further replies.
Kuna PPF Tower na PPF House wengi huwa wanachanganya na kutokujua si ushamba is just matter of time

wanachanganya vip wakati muelezaj kasema kabisa Ohio/Garden Avenue...PPF House Samora uko
 
Ila moto huu ni mdogo tu

Sent from my GT-N7100 using Tapatalk 2
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1359876913022.jpg
    uploadfromtaptalk1359876913022.jpg
    27.9 KB · Views: 122
aisee, ujue kuna nyaraka muhimu zinachomwa moto....
 
Ppf tower ya wapi? Mbona huweki mambo yaeleweke!

Mkuu unataka mambo yaeleweki vip mbona maelezo yanajitosheleza kabisa..au PPF Tower unayoongelea ww ni ya wap?,NYAKANAZI au???
 
Iliungua WTC unashangaa PPF? Acha makandarasi watengeneze deal, TUMESHAWAZOEA. Af utasikia "ooh, shoti ya umeme", pumbaf, mbona ikulu hatujawah sikia, au kule hakuna umeme

Huna kumbu kumbu wewe. Moto uliwahi tokea Ikulu wakati wa Mkapa. Ulisababishwa na Pasi
 
Haaa.... Kumbe ndiyo maana naona mtandao wa Voda uko down kwa sababu swtch zao ziko palepale,,,, Sehemu kubwa watu hawapati voda kabisaaaa.
 
Kumbe ndio maana hili jengo limekimbiwa na wapangaji wengi.....
Ukifika pale maofisi mengi yamegeuka kama mahame kutokana na wapangaji wengi kuondoka katika jengo hilo................
 
Sio lazima mipira ya magari ifike floor ya juu, majengo yote ya kisasa hua yana mabomba yalioanzia ground floor yakupeleke maji ya kuzimia moto kila floor na kila floor inamipira ya kutolea maji ya kuzima moto! Hivyo tatizo linaweza kua ni pump za kusukuma maji hazina nguvu au firefighter wetu waoga wanaogopa kwenda floor inayoungua kupitia ngazi za jengo.
 
Thanks God they have done!
Siyo kila mara kuwalaumu zimamoto! wakifanya vizuri tuwapongeze!
 
Moto umeshazimwa?

Wakuu tupeni taarifa maana wengine hatuna ving'amuzi na wengine umeme ni mgao!
 
Mkuu unataka mambo yaeleweki vip mbona maelezo yanajitosheleza kabisa..au PPF Tower unayoongelea ww ni ya wap?,NYAKANAZI au???

Mkuu wengine walilala club wapo chakari ndo maana hawaoni vizuri
 
mnajenga maghorofa marefu ya nini wakati vifaa vya kuzimia moto huko havifiki.?
 
Tatizo kubwa ni vifaa vya majanga ya moto hakuna labda yanavyoungua majengo yao wataliangalia upya ili suala.
 
Kikosi cha zimamoto kilisema hakina hela kikaanzisha utaratibu wa kila gari kulipia elfu 20 kama kibali cha fire extuingisher.tena mzigo unapitia TRA automatically sasa hzo hela wanapeleka wp wanashindwa kununua vifaa?au mradi wa mtu kujipatia hela?tujiulize sie janga la moto lishakua lakitaifa

....tena sio elf 20 mkuu, ni elf 30
 
kbm nimependa ulivyo report.
hujatuacha kwenye mataa na maswali ya umezima? utazima?
GD!
 
Last edited by a moderator:
Iliungua WTC unashangaa PPF? Acha makandarasi watengeneze deal, TUMESHAWAZOEA. Af utasikia "ooh, shoti ya umeme", pumbaf, mbona ikulu hatujawah sikia, au kule hakuna umeme
Ikulu ilishawahi kuungua wakati wa utawala wa Ben. Sema ambacho siku zote huwa kinanishangaza ni hii ya kuona majengo ya serikali na mashirika mbalimbali yanaungua moto ilihali yamejengwa na maengineer waliosomea na kubobea katika kazi zao. Na hapo najiuliza ni kwa vipi majengo yaliyojengwa na maengineer ndiyo yapo prone hiyo kwenye moto ilihali nyumba za akina sie ambazo zinajengwa na vijana wa mjini zinasurvive hadi zinazeeka? Kuna kitu hapa siyo bure.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom