kichwat
JF-Expert Member
- Mar 4, 2010
- 1,819
- 591
dah. bahati mbaya uwezo wa vifaa vyetu vya zimamoto (public & private) ni kama ghorofa 7 tu. kwa hizo ghorofa 17 itabidi tusubiri moto ushuke ghorofa za chini ili tuonekane tumefanya kazi.
ANGALIZO: kwa wanaopanga kwenye majengo marefu hakikisha hauendi juu zaidi ya uwezo wa ZIMAMOTO zilizopo kwenye mji wako.
ANGALIZO: kwa wanaopanga kwenye majengo marefu hakikisha hauendi juu zaidi ya uwezo wa ZIMAMOTO zilizopo kwenye mji wako.