Duduwasha
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 5,703
- 3,663
Hilo Jengo Mkono alishalistukia halina usalama akahamia Exim Tower na Huo Mtaa sio Azikiwe wala Ohio Ipo Mtaa wa GhanaHii ina umuhimu gani Mr. Nyerere?
Hilo Jengo Mkono alishalistukia halina usalama akahamia Exim Tower na Huo Mtaa sio Azikiwe wala Ohio Ipo Mtaa wa GhanaHii ina umuhimu gani Mr. Nyerere?
One of the city's 'landmarks' is on fire and we are helpless.. Hii wizara inayohusika na 'moto' si inaongozwa na PhD? Wapi ubunifu..
Hahaha, mtoto wa mwenye heri,Mtaa wa Ohio na Azikiwe? Ndipo ilipo ofisi ya Mukono.
Mawazo finyu
Hao unaowaona kwanza ni watu wa kwanza kufika kwenye tukio na wanaonekana kama sio walinzi bali ni wafanyakazi wa hapo, mie naishi ulaya na sijawai kuona kwenye first aid ya jengo lolote wameweka mavazi ya kuzima moto na masks, bali ni fire extinguishers
Badili na jina lako basi uite bill johnson ili tujue unaishi ulaya au us kwani unaona kila kitu kilicho kwenu ulikotoka ni cha kishamba .
Hahaha, mtoto wa mwenye heri,
habari mkuu?
Hivi hiyo mitaa kuna mahala inakutana kweli?
Mkuu kwa haraka na kuangalia hizo picha, naona moto umewaka juu kabisa ya jengo zilipofungwa BTS za makampuni ya simu ambazo kimfumo huwa zinakuwa na mfumo wa umeme...
Kwani kuna PPF ngapi hapa Tanzania?Ppf tower ya wapi? Mbona huweki mambo yaeleweke!
Kwa hiyo hizo BTS haziwezi kufanyiwa hujuma mkuu?
Tatizo nini au watu washatia moto nyaraka za siri kuficha ushhidi wa wizi wao kama ilivyofanyika mika ya 80 enzi zile za wizi wa beni na yule muheshimiwa naniliu......[/QUO
Hakuna kitu kisichowezekana BONGO; kwani ni bongo tu peke yake ambako BENKI KUU YA NCHI iliwahi kuungua!!! Haijawahi tokea mahala pengine ulimwenguni!!
Ukiuliza utaambiwa ni kwa sababu HAPA NI BONGO...na hii nchi ni ya WADANGANYIKA...Tatizo nini au watu washatia moto nyaraka za siri kuficha ushhidi wa wizi wao kama ilivyofanyika mika ya 80 enzi zile za wizi wa beni na yule muheshimiwa naniliu......[/QUO
Hakuna kitu kisichowezekana BONGO; kwani ni bongo tu peke yake ambako BENKI KUU YA NCHI iliwahi kuungua!!! Haijawahi tokea mahala pengine ulimwenguni!!
nimeulizia coordinates za lile jengo.
If they do not show the difference, what do we say? They need to stand out..Do you mean that std VII is more perfoming than those with docterate?