Hayajamani
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 883
- 272
kila kitu posta posta, dar dar, ngoja tuone
Ppf tower ya wapi? Mbona huweki mambo yaeleweke!
Unajua gari moja la zimamoto ni shillingi ngapi?na wao wamusanya mpaka sasa hivi shillingi ngapi?acha kuongea pumba ili na wewe uonekane umechangia hojaKikosi cha zimamoto kilisema hakina hela kikaanzisha utaratibu wa kila gari kulipia elfu 20 kama kibali cha fire extuingisher.tena mzigo unapitia TRA automatically sasa hzo hela wanapeleka wp wanashindwa kununua vifaa?au mradi wa mtu kujipatia hela?tujiulize sie janga la moto lishakua lakitaifa
Ntakugongea like mkuuThanks God they have done!
Siyo kila mara kuwalaumu zimamoto! wakifanya vizuri tuwapongeze!
Unajua gari moja la zimamoto ni shillingi ngapi?na wao wamusanya mpaka sasa hivi shillingi ngapi?acha kuongea pumba ili na wewe uonekane umechangia hoja
Iliungua WTC
unashangaa PPF? Acha makandarasi watengeneze deal, TUMESHAWAZOEA. Af
utasikia "ooh, shoti ya umeme", pumbaf, mbona ikulu hatujawah sikia, au
kule hakuna umeme
Nyaraka mhimu zitakuwa zimechomwa kwa manufaa ya makupe machache.
Hivi wewe ynakuwa unacomment kabla ya kusoma habari yenyewe? Mbona ameeleza kuhusu zima moto na jitihada zao za kuuzima? Acha kukurupukaa
Kwani Vodacom wameshahama ndani ya jengo hilo ? Siku nyingi sipo Dar ( sijui ) kama Vodacom hawajahama basi kuna kitu kinatafutwa hapo kufichwaa...
Hakuna jengo kubwa kama hilo hapa Tanzania ambalo halina miundombinu ya Uzimaji moto , Sema tu hao Zimamoto wetu hawataki kuuzima ! Kila jengo kubwa na la kisasa kama hilo lina Automatic sense za moshi tu na kufyatua maji kutoka juu ya dari, Achana na yela ma pipe mekundu kibao kila floor yaliyokitwa ukutani mwa jengo kwa ajili ya kuzima moto yenye maji kibao ni kuinyakua tu kutoka ukutani na kuweka switch on na kuachia maji !
Uko sahihi ss je kwa dar peke yake tunahitaji gari ngapi?na je hela inayokusanywa kpitia tra itatosha kufanikisha hili kwa sasa?jibu ni hapana tunahitaji tuwape muda hawa zimamoto wajipange vyemakama sikosei gari la zima moto lililokamilika gharama yake haipungui $ milioni moja kuendea juu.
Nasema tena lililotimia na jipya