Sasa hii kali! Kumbe kweli siasa in mwana alamu. sasa Mbowe kumbe naye ana side...this guy as chairman of Chadema should be neutral.
Sasa hii kali! Kumbe kweli siasa in mwana alamu. sasa Mbowe kumbe naye ana side...this guy as chairman of Chadema should be neutral. Inaonekana si tu kwamba wanawasiwasi na maamuzi ya Rais kumteua Zitto, mimi kwa maoni yangu naona kuna na wivu wa kijinga kuona Mkuu wa nchi kamchagua Zitto. Ebu tufikiri kama angekuwa maechaguliwa Mbowe au Slaa , jamani mnafikiri wangekataa? Sasa inatia wasiwasi kwamba hata wakipata madaraka ya nchi, migongano kama hiyo itakuwa mikubwa. To my side, I thought they should be proud of their party kwa mmoja wa viongozi wao kuwa kwenye kamati. Angalia Cheyo Kimya!!!!!!yuko pale kufanya kazi kwa malahi ya nchi.
Ndugu ebu endelea kutupa data za mkutano huo.
hii si ni JF inayoaminika kwa ze dataz ? kwa nini mkatae data ya shetani ? itakuwa ujinga sana kuamini wanayosema baadhi ya members na kutoamini mengine yanayochangiwa na members wengine maana wote ni sawa humu !
hii si ni JF inayoaminika kwa ze dataz ? kwa nini mkatae data ya shetani ? itakuwa ujinga sana kuamini wanayosema baadhi ya members na kutoamini mengine yanayochangiwa na members wengine maana wote ni sawa humu !
the lamest argument ever made!! I didn't know usawa wa members ni usawa wa hoja!
naona vidole vyako vinawasha leo !!!! NIMESEMA I TREAT THIS NEWS JUST LIKE ANY OTHER REGULAR MEMBER THAT INFORMS US ON ANY NEWS !!
MAANA WENGINE WASHAANZA SIJUI SHETANI UNAMUAMINI VIPI, SIJUI MAUMBILE NA UPUPU MWINGI AMBAO I DIDNT HAVE TO KNOW, NILICHOANGALIA HOJA LAKINI WATU WAKAANZA DESCRIPTIONS ZAO JUU YA SHETANI THE MEMBER !!
hivi wakati mwingine unapoandika unasoma ulichoandika? Hukusema hicho unachodai ulisema. Ukitaka kusema unachotaka kusema wewe kiseme tu.
Kwa taarifa yako Mbowe hakuzuiwa kuendesha kikao, alichelewa kufika mkutanoni na hivyo kuanzi kilipoanza hadi kama saa nane hivi mkutano ulikuwa chini ya Makamu toka Zanzibar na alipowasili alishiriki katika maamuzi kama Mwenyekiti wa Kitaifa.
naona vidole vyako vinawasha leo !!!! NIMESEMA I TREAT THIS NEWS JUST LIKE ANY OTHER REGULAR MEMBER THAT INFORMS US ON ANY NEWS !!
MAANA WENGINE WASHAANZA SIJUI SHETANI UNAMUAMINI VIPI, SIJUI MAUMBILE NA UPUPU MWINGI AMBAO I DIDNT HAVE TO KNOW, NILICHOANGALIA HOJA LAKINI WATU WAKAANZA DESCRIPTIONS ZAO JUU YA SHETANI THE MEMBER !!
KADA.....
kwi kiw kwi kwi WANAPOSHINDWA HOJA HULETA VIOJA.najiuliza kama habari hii ungeileta wewe KADA ingesemwa ohhhhh yule KADA tu analeta mambo ya CCM,angeileta MTU WA PWANI angesemwa ndio wale wale watoto wa wakubwa,angeleta ES angeeambiwa anaipenda CCm,leo imeletwa na SHETANi jina lake limekuwa issue jamani kwa nini inakuwa hivi.....
YA WENZAO MIDOMO JUUUU YA KWAO KIMYA
Kwanza kikao kilichelewa kuanza kwasababu Mwenyekiti alichelewa kuwasili. Kimeanza. Watu wa upande wa Zitto wameomba Mwenyekiti Mbowe asiwe mwenyekiti wa kikao kwasababu ameonyesha dhahiri kwamba hayupo neutral. Makamu wa Mwenyekiti ndiye Mwenyekiti wa kikao hadi sasa. Nitawaletea habari kadri ninavyotumiwa text kutoka ndani ya kikao.
Shetani wenu.
MBOWE WEWE BANA ACHA ZAKO, KWANZA SIASA HUIWEZI, ACHILIA MBALI NA HAKUNA CHOCHOTE ULICHOFANYA KUWASHAWISHI WATU KWAMBA KWELI UNA NIA YA UONGOZI, HIVI HADI HIVI SASA UMEFANYA NINI WEWE MBOWE ?? SIASA SIO KITU KIDOGO TU, KWANZA UMRI WAKO HUO BADO TU UNAOTA KUWA RAIS WA TANZANIA HIVI KARIBUNI ?? IN MY OPINION YOU HAVE ANOTHER 15 YEARS NDIO UANZE KUFIKIRIA HUO URAIS !
BORA WATU WA ZITTO(MGAWANYIKO USHATOKEA) WALIVYOMUOMBA MBOWE ASIWE MWENYEKITI WA MKUTANO, HUYU JAMAA NDIO TUNATEGEMEA AWE RAIS WETU KWELI ONE DAY ?? YAANI ANASHINDWA HATA KUWA PUNCTUAL BANA ? JE INA MAANA ALICHELEWA KUWA BRIEFED NA HICHO KIKAO MPAKA ACHELEWE AU ? KAMA ALITOKA UGHAIBUNI MAPEMA NA ALIJUA JUMAMOSI NDIO KIKAO, KWA NINI ASINGEONYESHA MFANO KWA KUFIKA MAPEMA KULIKO WENGINE ? AU NDO MAMBO YA BOSI AKICHELEWA RUKSA ? MIE SIFAGILII HIZI TABIA WAZEE, NAJUA KUNA WENGINE MTANIRUKIA, LAKINI POA SEMENI MAANA NAMI NINA UHURU WA KUONGEA JUST LIKE ANYBODY ELSE !
KWA KUWA HUKUFANYA CHOCHOTE KUMSHAWISHI MTANZANIA WA KAWAIDA KUKUCHAGUA, BASI KIDOGO UNGEFIKA KWENYE KIKAO MAPEMA NA KUWEKA KWENYE CURRICULUMN VITAE YAKO KWAMBA ULIHUDHURIA KIKAO MAPEMA, LAKINI WEE UNACHELEWA TU, CV ITAJAA KWELI ?? teh teh.
haya bana mheshimiwa mbowe, wee endelea tu kufika late kwenye vikao bila sababu maalum, na onyesha ubaguzi wako kwa kutokuwa nyutro !
nasubiri tu habari zaidi maana tumeambiwa tukae tyun-di na nikipata hizo habari nitaendelea na wewe mheshimiwa mbowe !