Moto Ndani ya CC: Mbowe azuiwa ku-chair kikao!

kada na wenzake vibar5aka walio kazini hapa WAMEAIBIKA!!!!!!!!!!

TUAMBIENI MAMILIONI MANGAPI MMETUMIA KUFANYA PROPAGANDA..ZA KUWAFANYA WATU WAAMINI WATU WA CHADEMA WANA GOGORO KUBWA,,....

DADA ASHA WAIMBIE....

"..acha maneno katika nyumba za watu mama ...acha umbea katika nyumba za watu babaa...!!

wakielewana mtabaki na aibu........."

Mwenyekiti Press Conference saa ngapi? Tetea ulaji, la sivyo dogo atakupiga bao.
 
mwenyekiti babaako ..hii ni post yako ya nane ..haya yote yanatoka wapi????..au kwa ajili unaingia na MULTIPLE NAMES..

SON OF A.. YAANI MTU AKITOA MAONI LAZIMA AWE FULANI ... hata akiwa mlalajoi wa kawaida....

anyway tunajua wengi hapa mnafalipwa pesa ili kupost humu...lakini wengi tuliobaki tunapost kwa mapenzi ya nchi yetu...hatulipwi!!!!
 
Sasa wale waliokuwa wanasema Zitto asiingie kwenye Kamati wajitoe CHADEMA ama sivyo nao tuwaite mambumbumbu wa kufuata nidhamu ya Chama. Hapa Mbowe kapigwa bao na huu ndio mwisho wa ndoto yake ya kuwa Rais wa Jamhuri yetu. Watatudanganya viini macho leo kwamba yameisha na CHADEMA iko moja lakini nyongo zishatumbuka na udhaifu wao sasa uko bayana. Mbowe ana ego kubwa, Zitto ana ego kubwa, Baregu ana ego kubwa, Wangwe ana ego kabambe na Tundu Lissu ana ego kubwa. Hayawezi kuisha leo.

Shetani wenu.

this smells mugongox2
 
Ebwana
hawa watu si walisema masilahi ya Taifa kwanza na si chama
mbona naona watu wanatetea masilahi ya CHADEMA??
hivi hii JF NI YA chadema nini??
 
this smells mugongox2

Mmeshikwa pabaya safari hii mtatafuta majina mpaka kiama. Mwenyekiti wenu naye anaingia na jina la bandia wakati aliwaambia wanachama wake hapa wawe na ujasiri wa kuingia na majina ya kweli akitupiwa kadongo anahamaki.
 
We have a long way to go!!!, jamani suala la Zitto lilikuwa jambo dogo sana, na nilishasema napinga hata kuitishwa mkutano kuzungumzia jambo dogo kama hilo, sasa hivi naona kada mpinzani na mwakijiji mnataka kutoana roho, kwa nini jamani,,, hakuna hoja kwenye hili... tutafute mengine ya kuongelea...

Mpasuko wa CHADEMA ni siku Zitto atakaposema natumia haki yangu ya kikatiba kugombea urais wa jamhuri kupitia CHADEMA, sasa hivi watu wataendelea kuwa wanafiki kidogo, siku hiyo ndio mambo yatakuwa mambo!

NB: CHADEMA jifunzeni kutumia midomo yenu vizuri, maana msemaji wa chama hafahamiki, leo dogo Mnyika Anaongea, Kesho, Dr. Slaa kesho kutwa Mtei, siku nyingine Makani,,, etc etc.. sasa mnagombanishwa na vyombo vya habari bila ninyi kujua...
 
mwenyekiti babaako ..hii ni post yako ya nane ..haya yote yanatoka wapi????..au kwa ajili unaingia na MULTIPLE NAMES..

SON OF A.. YAANI MTU AKITOA MAONI LAZIMA AWE FULANI ... hata akiwa mlalajoi wa kawaida....

anyway tunajua wengi hapa mnafalipwa pesa ili kupost humu...lakini wengi tuliobaki tunapost kwa mapenzi ya nchi yetu...hatulipwi!!!!

Mbona unahamaki Mwenyekiti? Ndio maana unakaribia kunyang'anywa Chama kwa vitabia ambavyo havielekei na nafasi ya uongozi wako.
 
SOMA MAKINI MANENO MEKUNDU ! sikumaanisha wafuasi wake, am dealing with him !
hata hivyo kuna mtabiri mmoja JF kaniambia wafuasi wake watakuja kufurika hapa kutokana na nilichoandika ! so hey........! lets roll the dice.

Hivi kweli wewe unajua unachoandika au kujua kwako kutype kunakufanya kila saa uwashwe vidole.
Hivi wewev akili uliyopewa si uitumie tu?
 
Mbona unahamaki Mwenyekiti? Ndio maana unakaribia kunyang'anywa Chama kwa vitabia ambavyo havielekei na nafasi ya uongozi wako.

SHEttani....

taratibu ndugu,ina maana MBOWE anataka kupokonywa CHAMma na DOGO ZITTO ZUBEIR KABWE? duh hiyo itakuwa ya FUNGA MWAKA 2007.
 
SHEttani....

taratibu ndugu,ina maana MBOWE anataka kupokonywa CHAMma na DOGO ZITTO ZUBEIR KABWE? duh hiyo itakuwa ya FUNGA MWAKA 2007.

Kama ndio anavyoandika hivi na kujibu hoja kwa namna ni wazi kwamba atapigwa goli muda si mrefu. Kwanza tumpe pole kwa arthritis, labda ndio tatizo.
 
Hii habari imetoka kwenye gazeti lao la Tanzania Daima la leo. Ukiisoma kwa makini, hasa kwenye maeneo niliyoweka bold, utaona hawa jamaa wamekwisharusha taulo ulingoni wakati bado mpambano mbichii. Sasa kama haka ka-dhoruba ndio kanawafanya hivi, itakuwaje huko mbele?

Kama uki-analyse hii habari by reading between the lines inaijenga CHADEMA zaidi ya kuibomoa kama wengi wanavyofikiri. Hebu soma paragraph hii hapa chini"Kwamba Zitto ambaye sasa nyota yake inang’ara, ndiye anayelengwa kwa nia ya kumfanya silaha muhimu ya kuisambaratisha CHADEMA, chama ambacho kwa sasa kinaoneka kuwa na nguvu kwa upande wa Tanzania Bara, si suala la mjadala wala la siri."

Vilevile haiibomoi CHADEMA bali ni taarifa kwa wananchi ili waweze kutambua nini kitarajiwe kutoka kwenye vyombo vya habari ambavyo RA ana mkono wake."Aidha, uamuzi wa mwanasiasa na mfanyabiashara huyo maarufu kuwa na hisa katika vyombo kadhaa vya habari nchini kama Mwananchi Communications Ltd na Habari Corporation, unatajwa kuwa moja ya nguzo kuu atakazotumia kukiimarisha chama tawala na wakati huo huo kuvisambaratisha vyama vya upinzani vitakavyoonekana kutoa upinzani makini".

Ukiangalia vifungu viwili hapo juu vina-confirm u-bias wa Mwananchi na Habari Corporation at the same kuonyesha Ukomavu wa CHADEMA na jinsi kinavyoendelea kupanuka.

Kuhusu mipango ya sisiem kuwanunua Wapinzani hiyo ni Hisia/Dhahania ambayo mwandishi hajaithibitisha bali anajenga hoja ya ku-caution CHADEMA iwe makini ili sipoteze umaarufu unaoongezeka kila kukicha.

Ukisoma hii habari kwa haraka utazani unaibomoa CHADEMA wakati ni vice-versa.
Sisiem ndio ambao wamekumbwa na kiwewe cha fikra mpya zinazosababishwa na matatizo makubwa yanayowakumba watanzania kila kukicha. Upinzani unaimarishwa na UFISADI, IRRESPONSIBILITY, NEPOTISM iliyomo ndani ya Chama Twawala.
 
jamani acheni kuzua migogoro..lets be serious..katiba ya nchi inasema kuwa "...mgombea wa urais anatakiwa kuwa na umri wa miaka arobaini na kuendelea.."
muhashimiwa zitto ambaye propaganda zinazopigwa hapa anahofiwa kugombea urais mwaka 2010...ana miaka takribani chini ya 32..kwa maana hiyo mwaka 2010 atakuwa na miaka 35 au 37 ,kikatiba hataweza kugombea urais...wanamkakati wa propaganda wa uchonganishi wa mbowe na zitto..watafute sababu nyingine..."

katika vijana ambao ni presidential material mwaka 2015 au 2020 ni muhashimiwa zitto ..atakuwa tayari anao umri wa kugombea kikatiba..ni vema akajiandaa na kuanza kuandaliwa...tumuone hivyo na yeye ajione hivyo..anafaa..

pia kuna vijana wengi chadema pia kama john mnyika,halima mdee na wengine ambao ukiwaangalia unauona uongozi wa juu wa chadema na TAIFA miaka 15 ijayo...nafikiri wameweza kufanya kuwa chama chaguo kwa vijana...
 
PM....

duh kula 5 kamanda,maelezo safi sana.
 
hii si ni JF inayoaminika kwa ze dataz ? kwa nini mkatae data ya shetani ? itakuwa ujinga sana kuamini wanayosema baadhi ya members na kutoamini mengine yanayochangiwa na members wengine maana wote ni sawa humu !

Kada tena at his very best. always flip floping. Kama ni ujinga ni wako mwenyewe. Kila mtu yuko huru kuamini anachotaka na sio tu kwa vile wanawaamini baadhi ya members basi lazima wawaamnini wote.
 
mwenyekiti babaako ..hii ni post yako ya nane ..haya yote yanatoka wapi????..au kwa ajili unaingia na MULTIPLE NAMES..

SON OF A.. YAANI MTU AKITOA MAONI LAZIMA AWE FULANI ... hata akiwa mlalajoi wa kawaida....

anyway tunajua wengi hapa mnafalipwa pesa ili kupost humu...lakini wengi tuliobaki tunapost kwa mapenzi ya nchi yetu...hatulipwi!!!!

ehehee, taratibu mzee !
 
Ebwana
hawa watu si walisema masilahi ya Taifa kwanza na si chama
mbona naona watu wanatetea masilahi ya CHADEMA??
hivi hii JF NI YA chadema nini??

mhm, kwanza usiwaamini hawa chadema na wapinzani mzee, unless wabadirike lakini sasa hivi no way, wanajali maslahi yao na kuongopea wananchi ndo zao !
 
EVANCE NG’INGO said:

Sunday News; Sunday,November 25, 2007 @00:02
CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) yesterday commended the government for forming the mining sector review committee. The party’s Secretary General, Dr Wilbroad Slaa, told reporters yesterday that the party has no objection to the appointment of its Member of Parliament for Kigoma North, Mr Zitto Kabwe, to the committee.

Dr Slaa said that all that was said by a section of the party’s members were personal views and not the party’s official position. “The formation of the committee is due to our efforts of pressurizing the government to do the same and we can only support Mr Zitto”, he said.

He also refuted suggestions that the main agenda of yesterday’s meeting was to discuss the participation and role of Mr Zitto in the committee, as the party has no problem with his appointment. Dr Slaa further said that the move by one member of the committee, Mr Peter Machunde, to resign from the committee is commendable and called for others who have been implicated in mineral scandals to follow suit.

He named Mary Kidjo as among members in that committee who should resign, due to her participation in the controversial Independent Power Tanzania Limited (IPTL). In recent days, some members of the party voiced their concern about Mr Zitto’s appointment to the committee, with many fearing that he would no longer have the zeal to speak out about wrongdoings in the sector.

Mary Kidjo atatufaa vipi kwenye hii kamati wakati alishiriki katika IPTL ambayo inaingiza hasara kila uchwao? Kwa sababu IPTL hata kama hawazalishi wanalipwa tu...........amakweli safari ni ndefu.
 
Back
Top Bottom