Moto Ndani ya CC: Mbowe azuiwa ku-chair kikao! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moto Ndani ya CC: Mbowe azuiwa ku-chair kikao!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Shetani, Nov 24, 2007.

 1. S

  Shetani Member

  #1
  Nov 24, 2007
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanza kikao kilichelewa kuanza kwasababu Mwenyekiti alichelewa kuwasili. Kimeanza. Watu wa upande wa Zitto wameomba Mwenyekiti Mbowe asiwe mwenyekiti wa kikao kwasababu ameonyesha dhahiri kwamba hayupo neutral. Makamu wa Mwenyekiti ndiye Mwenyekiti wa kikao hadi sasa. Nitawaletea habari kadri ninavyotumiwa text kutoka ndani ya kikao.

  Shetani wenu.
   
 2. green29

  green29 JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2007
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 312
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 35
 3. N

  Nshomile Member

  #3
  Nov 24, 2007
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa hii kali! Kumbe kweli siasa in mwana alamu. sasa Mbowe kumbe naye ana side...this guy as chairman of Chadema should be neutral. Inaonekana si tu kwamba wanawasiwasi na maamuzi ya Rais kumteua Zitto, mimi kwa maoni yangu naona kuna na wivu wa kijinga kuona Mkuu wa nchi kamchagua Zitto. Ebu tufikiri kama angekuwa maechaguliwa Mbowe au Slaa , jamani mnafikiri wangekataa? Sasa inatia wasiwasi kwamba hata wakipata madaraka ya nchi, migongano kama hiyo itakuwa mikubwa. To my side, I thought they should be proud of their party kwa mmoja wa viongozi wao kuwa kwenye kamati. Angalia Cheyo Kimya!!!!!!yuko pale kufanya kazi kwa malahi ya nchi.
  Ndugu ebu endelea kutupa data za mkutano huo.
   
 4. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #4
  Nov 24, 2007
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145

  Yaani kweli sisi watz tuna kazi. Sasa wewe huyu shetani kakuletea ushetani wake hapa na wewe mara moja umeshakubali kama ulivyo bila hata kuchekesha. Sasa nani amekwambia anayeongea huyu shetani ni ukweli au ni ushetani tu?
   
 5. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #5
  Nov 24, 2007
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  hivyo nazidi kushawishika kuwa shetani ni baba wa maovu yote ukiwemo uongo
   
 6. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #6
  Nov 24, 2007
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 3,749
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  mbowe kwisha kabisa ! kwa nini mkatae mpasuko ndani ya chadema ? mnafurahi sana mnapoona vyama vingine vina sides na kutoelewana, leo hii imetokea chadema, basi chadema riders mnaanza kukataa, mbowe huyoooooooooooooooo !
   
 7. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #7
  Nov 24, 2007
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Pole sana ndugu kwa kuamini maneno ya shetani
   
 8. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #8
  Nov 24, 2007
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 3,749
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  hii si ni JF inayoaminika kwa ze dataz ? kwa nini mkatae data ya shetani ? itakuwa ujinga sana kuamini wanayosema baadhi ya members na kutoamini mengine yanayochangiwa na members wengine maana wote ni sawa humu !
   
 9. N

  NakuliliaTanzania JF-Expert Member

  #9
  Nov 25, 2007
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 560
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Kada, heshima mbele mkuu, napata wasi wasi unapomlinganisha 'shetani' na member wengine humu! Jina lenyewe ni shetani...kwa binadamu wa kawaida hiyo inatosha tu kutilia shaka kile asemacho yeye kama shetani...na ukumbuke kuwa shetani ana maneno yanayoweza kuonekana kama ukweli kumbe uongo, nk...kiufupi huwezi kumlinganisha 'shetani' na binadamu wa kawaida humu!
   
 10. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #10
  Nov 25, 2007
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 3,749
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  "shetani" ni jina tu na sio tabia au maumbile, !! so lets not judge him or descriminate by his name !
   
 11. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #11
  Nov 25, 2007
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  the lamest argument ever made!! I didn't know usawa wa members ni usawa wa hoja!
   
 12. K

  Kithuku JF-Expert Member

  #12
  Nov 25, 2007
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Uchaguzi wa jina unaashiria kilichoko ndani ya mtu, kile anachotaka kuwakilisha na kuwasilisha. Huyu "shetani" anatia shaka sana.
   
 13. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #13
  Nov 25, 2007
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 3,749
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  naona vidole vyako vinawasha leo !!!! NIMESEMA I TREAT THIS NEWS JUST LIKE ANY OTHER REGULAR MEMBER THAT INFORMS US ON ANY NEWS !!
  MAANA WENGINE WASHAANZA SIJUI SHETANI UNAMUAMINI VIPI, SIJUI MAUMBILE NA UPUPU MWINGI AMBAO I DIDNT HAVE TO KNOW, NILICHOANGALIA HOJA LAKINI WATU WAKAANZA DESCRIPTIONS ZAO JUU YA SHETANI THE MEMBER !!
   
 14. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #14
  Nov 25, 2007
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  hivi wakati mwingine unapoandika unasoma ulichoandika? Hukusema hicho unachodai ulisema. Ukitaka kusema unachotaka kusema wewe kiseme tu.

  Kwa taarifa yako Mbowe hakuzuiwa kuendesha kikao, alichelewa kufika mkutanoni na hivyo kuanzi kilipoanza hadi kama saa nane hivi mkutano ulikuwa chini ya Makamu toka Zanzibar na alipowasili alishiriki katika maamuzi kama Mwenyekiti wa Kitaifa.
   
 15. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #15
  Nov 25, 2007
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 3,749
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  AFIKE MAPEMA, ASIFIKE MAPEMA, ASINGEHUDHURIA HAYO HAYANIHUSU MIMI, KUCHELEWA KWA MBOWE UNGEMWAMBIA ALIYELETA MADA, MIE NI MSOMAJI TU HAPA JUST LIKE ANYBODY ELSE ! USINIBAMBIKIE MANENO !

  KAMA NINA CHA KUSEMA NITASEMA TIME YOYOTE, HUJUI KILICHOPO NDANI YA NAFSI YANGU, NA NIKIWA NA KITU NASEMA TU REGARDLESS ! YES I SAID REGARDLESS !
   
 16. E

  Engineer Mohamed JF-Expert Member

  #16
  Nov 25, 2007
  Joined: Jul 27, 2007
  Messages: 461
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  KADA.....

  kwi kiw kwi kwi WANAPOSHINDWA HOJA HULETA VIOJA.najiuliza kama habari hii ungeileta wewe KADA ingesemwa ohhhhh yule KADA tu analeta mambo ya CCM,angeileta MTU WA PWANI angesemwa ndio wale wale watoto wa wakubwa,angeleta ES angeeambiwa anaipenda CCm,leo imeletwa na SHETANi jina lake limekuwa issue jamani kwa nini inakuwa hivi.....

  YA WENZAO MIDOMO JUUUU YA KWAO KIMYA
   
 17. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #17
  Nov 25, 2007
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 3,749
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  weee acha tu Mkuu, halafu si unajua tena ABUU WAHKA yupo hapa !
   
 18. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #18
  Nov 25, 2007
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  wow i love this type of mdahalo maana huwa tunaambulia machache kutoka ktk majibishano haya, ingawa kuna ufundi wa kukwepesha hoja ya msingi.
  Shetani badili jina ili angalau tukuamini kidogo maana saikolojia zetu zimejengwa kutomwamini shetani na malaika zake.... na sibadiliki ktk hilo
   
 19. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #19
  Nov 25, 2007
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 3,749
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  MBOWE WEWE BANA ACHA ZAKO, KWANZA SIASA HUIWEZI, ACHILIA MBALI NA HAKUNA CHOCHOTE ULICHOFANYA KUWASHAWISHI WATU KWAMBA KWELI UNA NIA YA UONGOZI, HIVI HADI HIVI SASA UMEFANYA NINI WEWE MBOWE ?? SIASA SIO KITU KIDOGO TU, KWANZA UMRI WAKO HUO BADO TU UNAOTA KUWA RAIS WA TANZANIA HIVI KARIBUNI ?? IN MY OPINION YOU HAVE ANOTHER 15 YEARS NDIO UANZE KUFIKIRIA HUO URAIS !

  BORA WATU WA ZITTO(MGAWANYIKO USHATOKEA) WALIVYOMUOMBA MBOWE ASIWE MWENYEKITI WA MKUTANO, HUYU JAMAA NDIO TUNATEGEMEA AWE RAIS WETU KWELI ONE DAY ?? YAANI ANASHINDWA HATA KUWA PUNCTUAL BANA ? JE INA MAANA ALICHELEWA KUWA BRIEFED NA HICHO KIKAO MPAKA ACHELEWE AU ? KAMA ALITOKA UGHAIBUNI MAPEMA NA ALIJUA JUMAMOSI NDIO KIKAO, KWA NINI ASINGEONYESHA MFANO KWA KUFIKA MAPEMA KULIKO WENGINE ? AU NDO MAMBO YA BOSI AKICHELEWA RUKSA ? MIE SIFAGILII HIZI TABIA WAZEE, NAJUA KUNA WENGINE MTANIRUKIA, LAKINI POA SEMENI MAANA NAMI NINA UHURU WA KUONGEA JUST LIKE ANYBODY ELSE !

  KWA KUWA HUKUFANYA CHOCHOTE KUMSHAWISHI MTANZANIA WA KAWAIDA KUKUCHAGUA, BASI KIDOGO UNGEFIKA KWENYE KIKAO MAPEMA NA KUWEKA KWENYE CURRICULUMN VITAE YAKO KWAMBA ULIHUDHURIA KIKAO MAPEMA, LAKINI WEE UNACHELEWA TU, CV ITAJAA KWELI ?? teh teh.

  haya bana mheshimiwa mbowe, wee endelea tu kufika late kwenye vikao bila sababu maalum, na onyesha ubaguzi wako kwa kutokuwa nyutro !

  nasubiri tu habari zaidi maana tumeambiwa tukae tyun-di na nikipata hizo habari nitaendelea na wewe mheshimiwa mbowe !
   
 20. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #20
  Nov 25, 2007
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Jamani net etiquette ukiandika kwa herufi kubwa tupu ina maana you are screaming!! Sasa punguzeni munkari basi! Hiyo tena ni hoja dhaifu, hivi unajua masharti ya mtu kuwa Rais wa Tanzania?

  Hoja nyingine hazina msingi! hakuna mtu aliyeomba Mbowe asiendeshe kikao. Hakuweza kuendesha kikao kwa sababu alichelewa; kuna wakati hata mtu upange vipi mipango yako kuna sababu 101 zinazoweza kufanya isiende unavyotaka; sasa wewe mwenzetu ambaye ni Mungu mtu ambaye unaweza kupanga kila kitu na kuzuia kila ubovu utuoneshe mfano.

  Kwenye uchaguzi mkuu anayeshinda ni mmoja tu! Leo hii Australia wamechagua Waziri Mkuu mpya licha ya Howard kupata asilimia 46. At the end anayeshinda ni mmoja; sasa usiite wale ambao licha ya uchaguzi wao mgombea wao hakushinda kuwa siyo watanzania "wa kawaida". Hii ni dharau na kejeli kwa mchakato mzima wa kuchagua viongozi. Lipumba alipata zaidi ya kura milioni moja hakuchaguliwa kuwa Rais, Mbowe alipata zaidi ya nusu milioni hakuchaguliwa kuwa Rais; sasa watu karibu milioni mbili ambao hawakumchagua Kikwete kwako siyo "Watanzania wa kawaida"? hoja nyingine bana...

  daymmnn.. sasa umefikia mahali pa kumuita mtu mbaguzi! wakati mwingine huwa unazungumza mambo ya ajabu lakini wakati mwingine unajipita wewe mwenyewe kwa kuzungumza mambo ya ajabu. Yaani mtu kuchelewa mkutano kawa "mbaguzi" na madai kuwa hakuwa "nyutro" ni wewe umeyahakikisha? Umeambiwa Zitto alihudhuria sehemu ya mwisho na alichair sehemu ya maamuzi yaliyofikiwa. Sasa wewe hilo hulioni, umepofoliwa macho kwa hisia hizi za chuki dhidi ya Mbowe kiasi kwamba ukweli kwako hauangazi.

  si uende kwenye Tanzania Daima habari tayari zipo? au subiri kesho...
   
Loading...