Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,983
- 100,180
Tulijadili humu kuwa pale pawekwe UwekezajiJF VAR CHECK
Natoa mawazo kwa serikali na wananchi wa Dar es salaam , Pale kariakoo shule ya Benjamin mkapa na Uhuru mchanganyiko pavunjwe liwe eneo la Parking , jiji la Dar es salaam limekuwa sana idadi ya Magari na watu imeongezeka sasahivi ukienda kariakoo kufanya shopping ni kazi sana kupata sehemu ya kuegesha gari , ukiangalia pembeni kuna eneo kubwa sana limechukuliwa na shule za Benjamin mkapa na uhuru mchanganyiko . Shule hizi tuzihamishe eneo lile liwe special kwa parking za magari , shule ni nyingi wanafunzi hawawezi kukosa shule ila parking na maeneo ni machache . Ni ushauri na mtazamo wangu .
- Moto wa volcano
- Replies: 145
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Umefikiri kwa fikra tunduizi.Kuna mtu kaleta hoja juzi shule ivunjwe! Alikuwa anatualert sio? 😁
Sawa sawaWatu wanataka wajenge ghorofa zao kuanzia underground ili watakatishe pesa zao za wizi na madawa ya kulevya alafu nyie mnaleta habari zenu za za uchuuzi na uuzaji wa makapeti. Tulieni, hii awamu siyo ya wanyonge.
lengo au ombi?Au ni michezo ili lengo la yule mdau wa parking litimie.😁
Sorry. Ukishashindwa kupangilia mji basi imekula kwako. Hakuna short-cut. Hata nchi zilizoendelea moto unazimwa na watu walioko chini. Huwezi kuzima moto wa nyumba na helkopta. Inawezeka tu kutumika with very limited usefullness.Ni muda wa kufikiria kutumia helicopter kukabiliana na majanga ya moto kwenye miji yenye msongamano Mkubwa kama hapa DSM
Kwa namna barabara zetu zilivyo busy nyakati ya jioni, hao Zimamoto watajikuta wanafika saa 4 usiku eneo la tukio 🙌
Yeye ni mshukiwa namba MojaKuna mtu kaleta hoja juzi shule ivunjwe! Alikuwa anatualert sio? 😁
Kiutafiti, imebainika helicopter inaweza kutumika kuzima moto piaSorry. Ukishashindwa kupangilia mji basi imekula kwako. Hakuna short-cut. Hata nchi zilizoendelea moto unazimwa na watu walioko chini. Huwezi kuzima moto wa nyumba na helkopta. Inawezeka tu kutumika with very limited usefullness.
Huu ni uongo, Breaking News wanaweka Jf wenyeweHizo prefix hata ww unaweza kuziweka ukianzisha uzi
Yeye ni mshukiwa namba Moja
🏃
😂😂😂nilijua tu lazima mnosingizie mimi Rostam azizi ki
Wako na mwamposa anatoshaAjali za moto zimekua nyingi sana siku hizi, watu hawaogi wanakuwa na magundu
HaswaaSure hii sio coincidence, michezo
Kheeh makubwaa tenaa.Hakuna Cha moto Wala nini, nimepita hapo dk chache zilizopita. Nipo kwenye mataa ya karume hapa
Amesha fanya yake
Nilipoona Post tuu ya Moto nikawaza hichohicho 😅, Ni kama jamaa alikuwa anatuandaa...!!!Ila JF 🙌🏿
Kuna mdau kaweka post hapa juzi kwamba hiyo shule ivujwe pajengwe parking
Duuh,Mission Quarters Stand Up.
Kitchwele Stand Up.
Huyo mama babu yake alikuwapo town Dar mwaka 1903.
Kuna kanisa la Kilutheri pale Dar town Azania Front, limemalizika kujengwa 1903 na Wajerumani, yeye alikuwa mmoja wa waliolijenga.
German East Africa inaanza kuipanga Dar wazee wapo wanaona.
Maana yake alikuwapo town tangu miaka ya 1800 huko.
Hawa hawakuja mjini, mji umekuja kwao.
Huo moto vipi wameudhibiti?