This happened just too soon..๐๐ฟ๐Aiseee
Huyu alijua kinachokujaJF VAR CHECK
Natoa mawazo kwa serikali na wananchi wa Dar es salaam , Pale kariakoo shule ya Benjamin mkapa na Uhuru mchanganyiko pavunjwe liwe eneo la Parking , jiji la Dar es salaam limekuwa sana idadi ya Magari na watu imeongezeka sasahivi ukienda kariakoo kufanya shopping ni kazi sana kupata sehemu ya kuegesha gari , ukiangalia pembeni kuna eneo kubwa sana limechukuliwa na shule za Benjamin mkapa na uhuru mchanganyiko . Shule hizi tuzihamishe eneo lile liwe special kwa parking za magari , shule ni nyingi wanafunzi hawawezi kukosa shule ila parking na maeneo ni machache . Ni ushauri na mtazamo wangu .
- Moto wa volcano
- Replies: 145
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Ya nini kuingiza watu hasara ambayo hamuwezi kuwalipa, si wangewapa muda wa kuhamaThis happened just too soon..๐๐ฟ๐
Sure hii sio coincidence, michezoNilitaka kusema hivi hivi, hii kitu iko planed. Lol
DuhJF VAR CHECK
Natoa mawazo kwa serikali na wananchi wa Dar es salaam , Pale kariakoo shule ya Benjamin mkapa na Uhuru mchanganyiko pavunjwe liwe eneo la Parking , jiji la Dar es salaam limekuwa sana idadi ya Magari na watu imeongezeka sasahivi ukienda kariakoo kufanya shopping ni kazi sana kupata sehemu ya kuegesha gari , ukiangalia pembeni kuna eneo kubwa sana limechukuliwa na shule za Benjamin mkapa na uhuru mchanganyiko . Shule hizi tuzihamishe eneo lile liwe special kwa parking za magari , shule ni nyingi wanafunzi hawawezi kukosa shule ila parking na maeneo ni machache . Ni ushauri na mtazamo wangu .
- Moto wa volcano
- Replies: 145
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Who cares..! They just don't care...๐ญYa nini kuingiza watu hasara ambayo hamuwezi kuwalipa, si wangewapa muda wa kuhama
๐ Hawashindwi kitu hawaAliyeleta hoja ndio mmojawapo
Mashuda wa eneo la tukio wanasemajeBado chanzo hakijajulikana ila moto ni mkubwa
Ofisa wa VAR huna baya ๐JF VAR CHECK
Natoa mawazo kwa serikali na wananchi wa Dar es salaam , Pale kariakoo shule ya Benjamin mkapa na Uhuru mchanganyiko pavunjwe liwe eneo la Parking , jiji la Dar es salaam limekuwa sana idadi ya Magari na watu imeongezeka sasahivi ukienda kariakoo kufanya shopping ni kazi sana kupata sehemu ya kuegesha gari , ukiangalia pembeni kuna eneo kubwa sana limechukuliwa na shule za Benjamin mkapa na uhuru mchanganyiko . Shule hizi tuzihamishe eneo lile liwe special kwa parking za magari , shule ni nyingi wanafunzi hawawezi kukosa shule ila parking na maeneo ni machache . Ni ushauri na mtazamo wangu .
- Moto wa volcano
- Replies: 145
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Nimeshaondoka eneo la tukio mkuuMashuda wa eneo la tukio wanasemaje
Mbele ya kifo hata kiwete anakimbia.Halafu pale si ndio kuna walemavu? Wamepona?
๐๐๐ Nimesoma kichwa cha habari nikataka kucomment hivi.Kuna mtu kaleta hoja juzi shule ivunjwe! Alikuwa anatualert sio? ๐