Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,144
- 4,290
Moto mkali mpaka sasa umeunguza nyumba 3 na godown moja ambalo lilikuwa limejaa magodoro.
hadi sasa vikosi vya ulinzi vipo hapa fire ilikuja moja ikazidiwa ikabidi badala ya kuzma chanzo wapambane kuzuia moto usendelee kwa sasa zimefika nyingine mbili so zoezi la uokozi linaendelea.