Most wanted

Achana na mtei one ndugu yangu, hana tofauti na wabunge wa ccm wanatokwa povu mawaziri wajiuzulu afu kuweka sign hawataki lol.

hahaahaah....kumbe upo? nimekumiss sana sweetlady!!
 
Last edited by a moderator:
hahaah....hajui madau ya Rejao huyu...anafikiri kila mtu ni mwanafunzi wa kuhonga koni!!!!:bump2::bump2::bump2:

huzeeki na wewe?...uko kama yule mzee mwenye vogi nyeusi...
 
Last edited by a moderator:
Mume wangu coz kwa sasa mie ndio maz haus akitokea wa kutaka kujiunga na akajiunga kweli sio kubip hapo jina litabadilika na kuwa mume wetu,hope umeelewa!
Nimeipenda hii.. Mtei One, una jingine??
 
Last edited by a moderator:
Mi kimodo bana....yule kanizidi kwa kifriji!! Nanihi haizeeke bana, utafiti unaonyesha mtu akifaa baada ya dk 5 bado inakuwa online!!
so ya kanumba ipo online now?
 
alafu wewe nakutafuta ujue...uko mateneti liv au?...unakumbuka tuliagana nn this weekend?...
Hehehe, toka lini under 18 akapata mateneti livu?? Una utani na mwanafunzi wa JK au?


Nimegundua kumbe hata hunipendi BAGAH na nakutafuta uthibitishe ugunduzi wangu.
 
Mi kimodo bana....yule kanizidi kwa kifriji!! Nanihi haizeeke bana, utafiti unaonyesha mtu akifaa baada ya dk 5 bado inakuwa online!!
Nashangaa wanakuchosha na mawswali ya ivo waambie waniulize mimi niwajibu km umezeeka au bado ebo!
 
Simama hapo, hapo mie nishakuona wacha nikufuate! Hujambo Amyner?

Sijambo dia, unajua kupotea wewe! Mwenzio nimefungua biashara ya kuuza vitumbua basi inani keep vipi busy! Inshort (ni kwamba uje kuniungisha.)
 
My darlie wif niko poa kbs,
Leo kaka yako hajatokea huko ndio maana hujaona sain yake,
Tupo hapa tunajiandaa kupata cha mchana wifi!

Shem wangu Nitonye hajambo lkn?
Hehehe, nnachokupendea wifi uko shapu sana kumtetea husband wako lol... Safi sana manake kisukari kitampita kando!

Nitonye mzima wa afya, anakusalimu sana!
 
100th post...dah, hatimaye nimeipata!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…