Most wanted

Most wanted

Thx Darling,
images
You too!!!
Wifi mna sifa na mumeo ( ukisoma uidelete kaka asione manake atayafikisha kijijini kwa mjomba)
 
Tobaaaa, kumbe kaja kuniombea maembe mabichi? Khaaa ana mambo huyu shemeji ako!

Hehehe yaani wifi umefundwa haswaaa!eti utamu wa mume lol.
Hee heeee heee!
Alinipigia akanambia tangu mwezi uliopita unapenda sana maembe mabichi na ubuyu!

BTW,kwan wifi hujui ukishikwa watakiwa kushikamana ,na ikiwezekana onyesha ufjuzi wako wenyewe watakupigia makofi lol!
 
Tatizo lako una hasira sana kijana...
Tumekuandalia mke....hope kesi utaifuta sawa?

Kesi imefunguliwa na jamhuri ya JF. Hapatakuwa na mianya ya rushwa. Imekula kwako Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Hee heeee heee!
Alinipigia akanambia tangu mwezi uliopita unapenda sana maembe mabichi na ubuyu!

BTW,kwan wifi hujui ukishikwa watakiwa kushikamana ,na ikiwezekana onyesha ufjuzi wako wenyewe watakupigia makofi lol!
Hahahaha! Nimekukubali my sweet wifi, kumbe ndio mana braza habanduki hapo pembeni eeh? Nzuri sana.

Afu ujue shemeji yako hajui kuficha siri?
 
Hureeee!
Itakuwa sawa ukimchukua Rejao, itakuwa umesafisha njia yangu ya kumchukua Cantalisia
Way to go Smile...
Kalakabaho endelea kusoma utaona namna ndoa yetu ilivoimara,
Hata smile akija anapata nafasi ya mke mdogo na maza haus niko pale pale hakuna kuachika!
Pole sana swaiba lol!
 
shem mbona twapishana wima wima?...ukachukue na ndimu kule kimanzichana...kisado!
Sore shem wangu si unaona Baba watoto wangu yuko araund ni lzm niwe bize naye atiii!

Ila usijali shem nitamtuma kijana aje kuchukua hizo ndimu jion!
 
Kalakabaho endelea kusoma utaona namna ndoa yetu ilivoimara,
Hata smile akija anapata nafasi ya mke mdogo na maza haus niko pale pale hakuna kuachika!
Pole sana swaiba lol!
Wifi see you baadae! Narudi bungeni kuendelea kuhesabu sign! Mwaaaaa. Stay safe!
 
Hahahaha! Nimekukubali my sweet wifi, kumbe ndio mana braza habanduki hapo pembeni eeh? Nzuri sana.

Afu ujue shemeji yako hajui kuficha siri?
Atabandukaje wakati anachopata hakipatikani kwengine lol!

Unajua Wifi sio km hatunzi siri alisubiri mda mrefu sana akusikie unataka maembe mabichi na ubuyu,
Sasa mambo yamejipa anajisikia furaha hakuna mfano,anataman dunia yote ipate habari lol!
 
Kongosho ameöekana mlimani city now. Ndo namfuata nkiwa na askar kadhaa. Inabd arudshwe polisi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom