salamu za baba mkwe harusini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

salamu za baba mkwe harusini

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Lucas, Sep 30, 2012.

 1. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mwanangu kwanza nimefurahi sana kukuona leo umefunga ndoa!! na kwa hilo namuomba Mungu akupe watoto wenye akili kama Erickb52, warembo kama charminglady, wenye heshima kama Smile, wachangamfu kama Kongosho, wasiwe wambea kama Madame B, wala wasiwe wachokozi kama BAGAH na Nicas Mtei, Muwalee wawe wacha Mungu kama @firtstlady1.

  jihadharini na ushauri wa Bishanga na Asprin kwenye ndoa yenu, maana hawa waliishia kuhatarisha ndoa za wengi hapa, na mjifunze kwa Rejao na Cantalisia ili msije kuwa kama Mwali na @st Ivuga. muwe makini na watu wanaokuja kwa msimu tu kama mtotosix, na tena jitahidini kusoma vitabu vya watu kama Mtambuzi na Mzee Mwanakijiji ila muwe na kiasi katika kila jambo kama The Boss

  waleeni watoto wenu vizuri ili yasije wakuta yaliyomkuta Arushaone kwa mtoto wake Ruhazwe JR, na mkipata nafasi kaeni na kuongea na Mamndenyi juu ya topiki za mama ushauri, ila muwe makini asije kuwaambukiza kuwa na watoto weeeengi kama yeye!!

  wanangu jitahidini sana kutenganisha siasa na ndoa yenu kama ilivyo kwa Rejao na Cantalisia maana laiti wasingejua hilo basi labda couple ya Rejao angekuwa FF ama Cantalisia angekuwa na pakajimy!!

  mwisho kabisa napenda kuwaaambia kuwa muilinde ndoa yenuw kama Paw na mwenzake Invisible wanavyohakikisha hakuna uchakachuaji chitchat.... tena na kwa kutambua umuhimu wa hilo nawapa mtani wangu FP na mtoto2012 kwa ajili ya kuwasaidia kwa shughuli zenu za ndani maana tunakaribia kuwafukuza hawa huku kwetu ili warydi kwao sasa amenisihi sana nimtafutie cha kufanya kabla hawajafukuzwa kurudi kwao

  na mkihitaji kijana wa kufagia uwanja msihofu snowhite pia yupo tayari kabisa kwa hilo

  NB: kaeni mbali sana na wajukuu wa Asprin wasije haribu ndoa yenu

  nawatakia kila la heri
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mtani mtake radhi mtani wako snowhite kabla hatujatuma njemba la kingoni kuchakachua hiyo ndoa.
  halafu nikiwa mfanyakazi wa ndani lazima kaka zangu wawe wananitembelea hapo, ndo utajua kama Bishanga na mkwe wangu Asprin wanaona ndani.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  kidogo nikugongee like ila nikahisi nikikugongea like utaprint na kuweka sebuleni kabisaaaa!! Bishanga na Asprin hao ni vijana wa kale na ninawafahamu vizuri tuu, isitoshe Bishanga ni maneno mengi tu kama kawaida ya wahaya (japo inasemekana ni mlugulu na jina la bishanga lilikuwa la jirani yao aliyekuwa amewaazima eneo lake walime mchicha) hanitishi huyo... najua anaogopa kamongo akija tu, ntawaambia wanangu wapike Kamongo

  halafu hiyo njemba ije kufanya nini hapo? hujui tuna mlinzi getini ni Mwita Maranya ataweza kupita? halafu njemba zenu ndio zinakuja na kaptura nyeupe na tai? si nitamtishia matope tuu!! LOL
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Duuuuh! Kweli kabisa lakini wanatkiwa wamuogope Aspirin kuliko wajukuu zake!
   
 5. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #5
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  unafikiri njemba zetu zinatumia nguvu basi? yaani ni wastaarabu sana, maneno yao tu yanawatoa hao vimwana vyenu mapangoni, lol!
   
 6. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  mh!!! labda wangekuwa wahehe ndio ungewaambia hivyo
   
 7. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #8
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Duh, nitakuwa siandiki MMU sasa, kumbe kuna watu humu ndani hawanipendi eh...
  Nitahamia jukwaa la Dini nikahubiri na kukemea mapepo, labda nitapata wafuasi kule...LOL
   
 9. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #9
  Oct 1, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  ah ha aha hapana ni vizuri maana vijana wengi wanajifunza kwako and as you know nowadays tuna hadi kizazi cha Mwishoni mwa utawala wa Mwinyi humu!!
   
 10. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Baba mkwe alisahau kuwaasa kuhusu ruttashobolwa!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #11
  Oct 1, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  umbeea ni kipaji?
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Oct 1, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,351
  Likes Received: 22,212
  Trophy Points: 280
  Mc wa harusi alikuwa nani? Mngemchukua ndyoko
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. v

  valid statement JF-Expert Member

  #13
  Oct 1, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Usia mzuri huu.
   
Loading...