Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,554
- 11,485
Wewe unataka anipate?
Na hawezi kunipata lol!
Hapana shem wangu...
Wewe unataka anipate?
Na hawezi kunipata lol!
Cantalisia utapatkana tu
Ww ndio shem wangu wa ukweli atiii!Hapana shem wangu...
Yan katika wapinzani wangu huyu mtei keshakuwa namba moja....ngoja tumtafutie Kipipi amriwaze kidogo...Ww ndio shem wangu wa ukweli atiii!
Hebu ona siku ile namtetea mtei mlipomchafulia kwa smile ona leo alivonigeuka!!!
Ama kweli tenda wema usingoje shukran!!!
Hapana wala siwezi kumruhusu Kipipi rafiki yangu awe na huyu mtu!Yan katika wapinzani wangu huyu mtei keshakuwa namba moja....ngoja tumtafutie Kipipi amriwaze kidogo...
Au unaonaje shem?
Nipo, msalimie Erickb52..
Nipo, msalimie Erickb52..
napita kwenu huko... upo? ni-pm
Kalakabaho endelea kusoma utaona namna ndoa yetu ilivoimara,
Hata smile akija anapata nafasi ya mke mdogo na maza haus niko pale pale hakuna kuachika!
Pole sana swaiba lol!
Nipangie siku ya kesi
kesi yenu haijaisha tu?
Husninyo umembambikia kesi hapo.