Most wanted

Most wanted

We Rejao chekelea tu. Wanasubiri anguko la uchumi likushukie wachape lapa.
Missing You a lot Mtei one..

Niko huku bungeni nahesabu sign za wabunge. Muulize Rejao mbona yake sijaiona.
 
Last edited by a moderator:
Mtei One...Hivi hiyo siku kulikuwa na match ya aina gani? sisi tulikuwa busy na match yetu bana...
naona unachikonoa kweli ujue kila kitu!! Angalia tu usichanganyikiwe...
Hujambo lovely bro...
 
Last edited by a moderator:
asa hao watu wanaotafutwa mbona nawaona tena humuhumu wamekunja nne afu hawakamatwi....vipi tena au ndo tuseme wamekula rushwa!
Achana na mtei one ndugu yangu, hana tofauti na wabunge wa ccm wanatokwa povu mawaziri wajiuzulu afu kuweka sign hawataki lol.
 
Wifi kipenzi, are you good ??
My darlie wif niko poa kbs,
Leo kaka yako hajatokea huko ndio maana hujaona sain yake,
Tupo hapa tunajiandaa kupata cha mchana wifi!

Shem wangu Nitonye hajambo lkn?
 
next ni mimi kuondoka na rejao ?
nahongwa koni mimi? weeee vitz yenyewe sipokei
hahaah....hajui madau ya Rejao huyu...anafikiri kila mtu ni mwanafunzi wa kuhonga koni!!!!:bump2::bump2::bump2:
 
Last edited by a moderator:
next ni mimi kuondoka na rejao ?
nahongwa koni mimi? weeee vitz yenyewe sipokei

heri ule koni ushibe kuliko kupewa gari na fotocopy ya kadi ya gari...lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom