Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,106
- Thread starter
- #161
Last edited by a moderator:
Husninyo umembambikia kesi hapo.
afu ujue wewe ndo ulibambikia hii mambo aisee!...sikuwahi kujua mambo ya kuchakachua...
usije bambikiwa mimba tu.
Mengine yanasuluhika.
e bana eeh!...naona unacheza na sharubu za simba...hii ntaifikisha TGNP!...
Mtei Kipipi kakubali kuwa mpenzi wako kama utakubali kufuta kesi yetu....
Futa basi nawewe lol
Hahahahaaa Kipipi naomba radhi Shemeji yangu nilikuwa natania mwaya...
Lol hujambo?
mpo jamani?
Mie nipo najiandaa kuondoka!
Mie nipo najiandaa kuondoka!
Unataka kwenda wapi shost? Mi nakutafuta halafu.
wapi tena saa hii?
Nimekusamehe bure, though sidhani kama unamaanisha manake umeomba msamaha huku unacheka!! Anyways.......mi sijambo kabisa, sijui nyie huko home kwenu!
Sisi wazima kabisaaaa