Most wanted

Hehehe, toka lini under 18 akapata mateneti livu?? Una utani na mwanafunzi wa JK au?

Nimegundua kumbe hata hunipendi BAGAH na nakutafuta uthibitishe ugunduzi wangu.

under 18,!!nyie ndo wenyewe mnatikisa hata ubongo wa mtu...kwan mnafaa...

shem nnavyokupenda...naweza hata kukuhonga DUNIA...walah!...
 
Sijambo dia, unajua kupotea wewe! Mwenzio nimefungua biashara ya kuuza vitumbua basi inani keep vipi busy! Inshort (ni kwamba uje kuniungisha.)
Hahaha!

Huku kupotea wala kusikupe shida mpendwa, nilienda kijijini kuwasalimu wakwe ..

hivi kumbe kuna vijiji net haikamati kabisa? Kesho niwekee vitumbua vya elfu 1 lol. Mengine tutaongea nikija hiyo kesho.
 
under 18,!!nyie ndo wenyewe mnatikisa hata ubongo wa mtu...kwan mnafaa...

shem nnavyokupenda...naweza hata kukuhonga DUNIA...walah!...
Hahahaha! Under 18 wa kijijini hawezi kutikisa ubongo bana...lol.

Nasubiri kuhongwa dunia mie, yaani kuna watu ntawafukuza wahamie sayari ya jupita, subiri unihonge uone!
 
ati natafutwa? na nani? for what??

kama ni mtei nitamsehe tuuu, najua matatizo yake huyu kijana,
naomba tuungane kumpa pole...
 
Erickb52 ndo amekamatwa mda huu hapa police central. Bdo anaendlea kuhojiwa ili asaidie mkakat wa kukamata wengne. Dhamana ipo wazi.
 
Last edited by a moderator:
Hehehe, nnachokupendea wifi uko shapu sana kumtetea husband wako lol... Safi sana manake kisukari kitampita kando!

Nitonye mzima wa afya, anakusalimu sana!
Hahhah hahaha,
Umeona eee,wanasema utamu wa mume aujua mke atiiii!!!
Mwambie shem wangu yale maembe mabichi alisema nimwandalie atayapitia akuletee yapo tayari apitie tu!
 
Erickb52 ndo amekamatwa mda huu hapa police central. Bdo anaendlea kuhojiwa ili asaidie mkakat wa kukamata wengne. Dhamana ipo wazi.
Sasa unaponikamata na wife unadhani familia yetu itakuwaje??
Ngoja nikamtafute wakili....
 
Last edited by a moderator:
Hahhah hahaha,
Umeona eee,wanasema utamu wa mume aujua mke atiiii!!!
Mwambie shem wangu yale maembe mabichi alisema nimwandalie atayapitia akuletee yapo tayari apitie tu!
Tobaaaa, kumbe kaja kuniombea maembe mabichi? Khaaa ana mambo huyu shemeji ako!

Hehehe yaani wifi umefundwa haswaaa!eti utamu wa mume lol.
 
Hahahaha! Under 18 wa kijijini hawezi kutikisa ubongo bana...lol.

Nasubiri kuhongwa dunia mie, yaani kuna watu ntawafukuza wahamie sayari ya jupita, subiri unihonge uone!

hivi JUA ni sayari eeh?...ningekwambia uwatupie huko!...

kumbe 18 wa mjini ndo noma sio...?ngoja kale katoto kangu ka mazinde juu nikapotezee...
 
Hahhah hahaha,
Umeona eee,wanasema utamu wa mume aujua mke atiiii!!!
Mwambie shem wangu yale maembe mabichi alisema nimwandalie atayapitia akuletee yapo tayari apitie tu!

shem mbona twapishana wima wima?...ukachukue na ndimu kule kimanzichana...kisado!
 
hivi JUA ni sayari eeh?...ningekwambia uwatupie huko!...

kumbe 18 wa mjini ndo noma sio...?ngoja kale katoto kangu ka mazinde juu nikapotezee...
Hahahaha! Mi loves you Bagah lol, manake wangeunguaje?..

Wa mjini hawafai shem ila sie wa kijijini akuuuuu tuna kheshima zetu wacha kabisa!
 
ngoaja ni :shut-mouth::shut-mouth: thats why I :A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2: you!!
Thx Darling,
images
You too!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom